ni maoni yako"Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga"
Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
Inategemea na alichokisomea.. Kama alienda chuoni ilimradi tuu nayeye apate MKOPO basi matokeo yake ndio hayo."Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga"
Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.
Utashangaa mtu anasoma non profit studies halafu anaenda kupiga hela NGOs huko.Kuna kozi moja nimeiona jana kipindi nafanya applications za dogo inaitwa Bachelor of arts in non profit studies !!
Utashangaa mtu anasoma non profit studies halafu anaenda kupiga hela NGOs huko.
Kaongea hivo sababu ni mpumbavu.
Huna IQ kubwaKwanini usimpinge kwa hoja, unatumia matusi?
Watu wenye IQ kubwa, tunakushangaa
'mtu mpumbavu akikuambia jambo la kipumbavu nawe ukamkubalia, atakudharau maisha yake yote' nukuu ya mwl Nyerere."Kusoma elimu ya chuo kikuu ni upuuzi sana, ni kupoteza muda kijinga"
Nimenukuu jamaa akisema hayo maneno hapa Stationary nikiwa natoa copy sijui kwanini kaongea vile.