Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Status
Not open for further replies.
CCM oyeeee!!! Elimu bora kwa kila mtanzania oyeeee!!! Idumu CCM!!!....mbona hamuitikii sasa itikieni " IDUMU"

Do you like parots???!!!!
They are real good for chorus purposes,i wonder if mutation can result a parot from a human!!!!
 
Sasa hiyo namba itatoka bila registration mkuu au ni ubishi tu umeamua?????!!!!!
Kama kilifutiwa usajili weka basi huo ushahidi!!

Mi nimetoa namba ya chuo kama kinavyotambulika TCU wewe mkanushaji weka vinginevyo kesi iishe!!!!

chuo kimesajiliwa ila hakiko monitored na TCU.Wanaoingia kusoma pale hawaombi kupitia kwa makafiri TCU na ubora wake unatia hofu. Kuna wahitimu wa SUZA walifanya kazi ofisini kwangu wako vizuri kweli.
 
Selection ya wanafunzi wanaoomba Uni mwisho lazima ipelekwe TCU tena cd,mkeka n.k sasa huu utaratibu unaosema hapa ni wa wapi???!!!!

Loan wanapataje???!!!!
 
Jf siku hizi imekuaje? wakati nasoma thread kwa mara ya kwanza niliingia kwenye coment kwa shauku nikitaka kufaham juu ya hilo maana hata mimi bado sifaham quality ya hki chuo. mbona tumeona thread nyng hapa zikiuliza quality ya SAUT, ST JOHN, BUGANDO, ST JOSEPH lakini saijaona wakristo wakijib kwa mihemko ya aina hyo? ni vema kama kitu haujui ukawa kimya. NAWASILISHA

ndio ilikuwa lengo la uzi,ajabu limegeuka muhadhara wa kukashfiana,sijaambulia kitu hapa
 
wenyewe watajibu,tuvute subra watupe ILMU!''Ahsanta''

tayari ushaji'tune in a negative mode...what do you expect ndugu!?.. umekaa kimajungu sana ndugu....
by the way ni chuo cha waislamu cha morogoro tofautisha muslim na islamic
 
Selection ya wanafunzi wanaoomba Uni mwisho lazima ipelekwe TCU tena cd,mkeka n.k sasa huu utaratibu unaosema hapa ni wa wapi???!!!!

Loan wanapataje???!!!!

Utabisha kwa kutojua, majina hayaendi TCU na hata SUZA majina hayaendi TCU. Ila HESLB yanaenda
 
OLESAIDIMU, kuanzia mwaka huu ni marufuku kuomba course fulani chuoni directly. Maombi yote ni TCU ambao wana orodha ya vyuo vyote vyenye kutoa degree isipokuwa vya Zenji (sababu Za Kisiasa) na MUM [Sababu za kidini]
 
Last edited by a moderator:

suza ndo chuo gani,kama unamaanisha sua you are a lier,sua tunaomba tcu ndo tunapangiwa except wale wachache sana wanaokuja kuomba sua chuoni moja kwa moja and ni wachache sana
 
Ni kweli lakini, tafadhali kwa anaefahamu tovuti yao naomba atufahamishe.

Abadan sijakutana na muhiyimu wa chuo hicho wala kupata kusikia machapisho ama mihadhara ya kitaaluma kutoka chuoni hapo
 
OLESAIDIMU, kuanzia mwaka huu ni marufuku kuomba course fulani chuoni directly. Maombi yote ni TCU ambao wana orodha ya vyuo vyote vyenye kutoa degree isipokuwa vya Zenji (sababu Za Kisiasa) na MUM [Sababu za kidini]

Mkuu Nyakageni tatizo ni chuo ama TCU?
 
Last edited by a moderator:
Naomba niseme kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo cha MUM na hakiitwi "CHUO CHA KIISLAMU CHA MOROGORO" bali kinitwa "CHUO KIKUU CHA WAISLAMU CHA MOROGORO".

Mimi nipo hapa chuoni mwaka wa tatu huu, nilijiunga na chuo hiki mwaka wa masomo 2011/2012, kwahiyo nina uzoefu wa kutosha hapa chuoni.

Kilianzishwa mwaka 2004/2005 na hivi sasa chuo kina miaka kumi tokea kilipoanzishwa.

Chuo kinatoa kozi zifuatazo kwa wanaotaka kujiunga;.
1) Bachelor of art with education (3 years)
2) Bachelor of art in Mass communication (3 years)
4) B achelor of art in Islamic studies with education (3 years)
5) Bachelor of law and sharia (4 years)
6) Bachelor on Bussiness studies (3 years)
7) Bachelor of Language and Interpretation (3 years).

Makamu mkuu wa chuo anaitwa Prof. Hamza Njofi (Previosly he was the head of department of language and lingustic in UDSM).
 
suza ndo chuo gani,kama unamaanisha sua you are a lier,sua tunaomba tcu ndo tunapangiwa except wale wachache sana wanaokuja kuomba sua chuoni moja kwa moja and ni wachache sana

State University of Zanzibar (SUZA)! Siwezi kukisema SUA vibaya kwani ni one of the best Universities na hawana siasa, kazi kazi kwao! Kuwa makini na lugha siyo LIER ni LIAR
 
Naomba niseme kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo cha MUM na hakiitwi "CHUO CHA KIISLAMU CHA MOROGORO" bali kinitwa "CHUO KIKUU CHA WAISLAMU CHA MOROGORO".

Mimi nipo hapa chuoni mwaka wa tatu huu, nilijiunga na chuo hiki mwaka wa masomo 2011/2012, kwahiyo nina uzoefu wa kutosha hapa chuoni.

Kilianzishwa mwaka 2004/2005 na hivi sasa chuo kina miaka kumi tokea kilipoanzishwa.

Chuo kinatoa kozi zifuatazo kwa wanaotaka kujiunga;.
1) Bachelor of art with education (3 years)
2) Bachelor of art in Mass communication (3 years)
4) B achelor of art in Islamic studies with education (3 years)
5) Bachelor of law and sharia (4 years)
6) Bachelor on Bussiness studies (3 years)
7) Bachelor of Language and Interpretation (3 years).

Makamu mkuu wa chuo anaitwa Prof. Hamza Njofi (Previosly he was the head of department of language and lingustic in UDSM).

Post yako ni useful na unaweza kutujuza zaidi,admissioni zikoje,ni kwa imani yoyote?ni kweli kwamba hakitambuliki TCU?unaridhika kwa kiwango gani na elimu ya MUM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom