Elimu ya Chuo cha Kiislam Morogoro

Status
Not open for further replies.
Naomba niseme kwamba mimi ni mwanafunzi wa chuo cha MUM na hakiitwi "CHUO CHA KIISLAMU CHA MOROGORO" bali kinitwa "CHUO KIKUU CHA WAISLAMU CHA MOROGORO".

Mimi nipo hapa chuoni mwaka wa tatu huu, nilijiunga na chuo hiki mwaka wa masomo 2011/2012, kwahiyo nina uzoefu wa kutosha hapa chuoni.

Kilianzishwa mwaka 2004/2005 na hivi sasa chuo kina miaka kumi tokea kilipoanzishwa.

Chuo kinatoa kozi zifuatazo kwa wanaotaka kujiunga;.
1) Bachelor of art with education (3 years)
2) Bachelor of art in Mass communication (3 years)
4) B achelor of art in Islamic studies with education (3 years)
5) Bachelor of law and sharia (4 years)
6) Bachelor on Bussiness studies (3 years)
7) Bachelor of Language and Interpretation (3 years).

Makamu mkuu wa chuo anaitwa Prof. Hamza Njofi (Previosly he was the head of department of language and lingustic in UDSM).

very useful post
 
jaman kama NSSF, UDOM kuna waajiriwa wengi wa kiislam. tupeni taarifa ya PSPF, LAPF na UDSM waajiriwa ni 50_50...au vp?
pia kama Azam waajiriwa wengi.ni.waislam ....vp IPP MEDIA? tusijichetue akili na kujipa upofu..
 
Post yako ni useful na unaweza kutujuza zaidi,admissioni zikoje,ni kwa imani yoyote?ni kweli kwamba hakitambuliki TCU?unaridhika kwa kiwango gani na elimu ya MUM

Ni kweli chuo hakifanyi udahili kwanjia ya TCU. Lakini chuo kinatambulika na TCU na kimesajiliwa. Wanafunzi wanapaswa kuchukua fomu zinazopatikana chuoni au katika web ya chuo;
www.mum.ac.tz

Ubora wa elimu yetu;
Chuo bado ni kichanga lakini kinaelimu bora na watu wanamaliza hapa na wamekuwa wakisifiwa katika kazi mbalimbali huko maofisini.
 
Chuo kinapokea wanafunzi wenye imani tofauti tofauti. Kwahiyo hata kama sio muislamu unaweza ukaomba na kama unavigezo vyote utachaguliwa.
 
Umenena nemeenda ofic flan iv za NSSF sijaona mkristo ata mmoja kila kona salamaleko....hv mkuu wa NSSF muislam nin?

hii si mara ya kwanza kusikia hii kitu lakini yawezekana labda ilitokea kwa bahati mbaya tu hakuna mtu ambaye aalitarajia kama ingekuwa hivyo

best regerd
 
State University of Zanzibar (SUZA)! Siwezi kukisema SUA vibaya kwani ni one of the best Universities na hawana siasa, kazi kazi kwao! Kuwa makini na lugha siyo LIER ni LIAR
ku kremisha kila kitu kubaya sana bwana mdogo,you have to go and google the meaning of lier alafu urudi hapa ku edit post yako
 
Bila kuficha, lengo ni kupanua goli akina Aisha & Abdallah wawe wengi kama akina Peter & Paulina

unataka kusema vigezo vya TCU vinawaacha waislam nje,mbona Mkuu Mpenda Kazi kaonesha MUM inasajili hata wakristu?kama issue ni qualification
 
State University of Zanzibar (SUZA)! Siwezi kukisema SUA vibaya kwani ni one of the best Universities na hawana siasa, kazi kazi kwao! Kuwa makini na lugha siyo LIER ni LIAR

usikimbie bwana mdogo rudi hapa ufute kauli yako na siku nyingine usikosoe vitu ambavyo huvijui vizuri.or hapo mum ndo english mlivyofundishwa hivyo????
 
unataka kusema vigezo vya TCU vinawaacha waislam nje,mbona Mkuu Mpenda Kazi kaonesha MUM inasajili hata wakristu?kama issue ni qualification

Tatizo ni kwamba waikristo wengi hawaombi lakini sio kweli kwamba chuo hakipokei waikristo wapo na mimi mweyewe nakaa geto moja na mkristo, tunapendana sana nikiuwawa ananitoa na akiuwawa na mtoa.

Hatuna ubaguzi wa aina yoyote, na kama kingikeuwa hakipokei waikristo basi hata usajili kingefutiwa kwani chuo ni cha waislamu na sio cha kiislamu.

Chuo cha waislamu kina tofauti na chuo cha kiislamu, cha waislamu kinakuwa kinatoa kozi za kawaida (Normal courses) ambazo kila mtu anaweza kuzisoma. Lakini ukisikia chuo cha kiislamu yaani ujue kinahusika na kozi za dini ya kiislamu tu. Kwamfani; London islamic University.

Kwahiyo karibuni sana MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO....
 
usikimbie bwana mdogo rudi hapa ufute kauli yako na siku nyingine usikosoe vitu ambavyo huvijui vizuri.or hapo mum ndo english mlivyofundishwa hivyo????

Ligi zingine are not worth taking, whats the `ambush or wait' hadi utumie LIER? Umeingia kwenye mnakasha ukiwa hujui SUZA ni nini wewe unawaza SUA! Usomi ni pamoja na kukubali kukosolewa
 
usikimbie bwana mdogo rudi hapa ufute kauli yako na siku nyingine usikosoe vitu ambavyo huvijui vizuri.or hapo mum ndo english mlivyofundishwa hivyo????

Mzee mbona unakomaa na mambo yasiyo muhimu?hujui kingine tofauti na hiyo 'lier' yako,acha ligi isiyo na tija
 
Tatizo ni kwamba waikristo wengi hawaombi lakini sio kweli kwamba chuo hakipokei waikristo wapo na mimi mweyewe nakaa geto moja na mkristo, tunapendana sana nikiuwawa ananitoa na akiuwawa na mtoa.

Hatuna ubaguzi wa aina yoyote, na kama kingikeuwa hakipokei waikristo basi hata usajili kingefutiwa kwani chuo ni cha waislamu na sio cha kiislamu.

Chuo cha waislamu kina tofauti na chuo cha kiislamu, cha waislamu kinakuwa kinatoa kozi za kawaida (Normal courses) ambazo kila mtu anaweza kuzisoma. Lakini ukisikia chuo cha kiislamu yaani ujue kinahusika na kozi za dini ya kiislamu tu. Kwamfani; London islamic University.

Kwahiyo karibuni sana MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO....

quality ikoje?
 
Ni kweli chuo hakifanyi udahili kwanjia ya TCU. Lakini chuo kinatambulika na TCU na kimesajiliwa. Wanafunzi wanapaswa kuchukua fomu zinazopatikana chuoni au katika web ya chuo;
www.mum.ac.tz

Ubora wa elimu yetu;
Chuo bado ni kichanga lakini kinaelimu bora na watu wanamaliza hapa na wamekuwa wakisifiwa katika kazi mbalimbali huko maofisini.

Unapoomba mkopo unatumia fomu zipi mkuu???!!!
 
Kwani shida yako hasa nini, halafu ukishajua quality ya chuo inakuaje?
Mbona sisi hatuhoji migpa mikubwaa mnayopeana huko kwenye saint zenu?

Acha choko choko dada, kama huna la kufanya tafuta mume uolewe sio unaamka asubuhi asubuhi na ge.nye za kuchokoa wanaume.

Kama jibu langu halijakutosha nenda kaulize pale pale chuoni, nadhani watakuwa na jibu mujarab.

mkuu yan unatukana wakati huu ni mwezi mtukufu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom