Elimu ya bure kuhusu Azam TV

salaam wakuu,,,, leo nimewasha king'amuzi changu cha Azam kika update OTA ila chaa ajabu channels zote ambazo ziko upande wa other channels hazioneshi hata moja,,, msaada tafadhali
Ikijiupdate au ukiupdate software ipya basi hizo za Other channels hazitaonesha hata moja.
 
AZAM WAMETUBANIA . WAMETULETEA SOFTWARE MPYA AMBAYO IMETUONDOLEA UHONDO KWENYE OTHER TV CHANNEL AMBAPO AFCON TULIKUWA TUNAIPATA KUPITIA CRTV BURE BILA KUJALI KAMA UMELIPIA AMA BADO .
Wamekata bhana!!
 
Naona na upande wa other tv channels zinaonesha leo.
 
Wakuu naunganishajee Lg tv na king'amuzi, ciz nikisearch channel holaa, ni wapi nakosea.
 
Match ya arsenal na Newcastle iko live RTS 1 kwenye other channels. Bonyeza remote kwenda kulia utaona other channels huwa wanaonyesha match moja ya epl kila jumamosi.
 
Thanks mkuu.
 
Inawezekana kutumia dstv dish na receiver ya mediacom mft-910 plus. Au 930 plus....naona TCRA wanaleta maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…