Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Usikose game za chan za saa moja na nusu kwenye rts 1 iko kwenye other channels now ivory coast versus Morocco iko live
Ipo kwenye namba ngapi katika list ya hizi channels za Azam
 
Angalia ubc pia wako live ila rts 1 yenyewe iko kwenye other channel's.
 
Mkuu tafadhar sana naomba uje ata kwa PM
 
Kuna channel yeyote inayorusha mech za uefa kwenye king'amuz cha azam...???
 
Azam sasa ni malipo kila mwezi hivi ipo official au maana sisi wapenda miteremko vichwa vinauma now. Local channel wanakuachia TBC1 Tu.
 
Angalia Crtv
Mkuu iyo frequence ya 11192h 3210 nmepata Rodriguez 1 & 2 lkn hazionyesh zpo giza tu nmekosea wap hap msaada kk?


Angalia Crtv na ktn wanaonyesha epl match moja kila weekend ziko kwa azamtv. Hizo hapo juu kwa sasa ziko encrypted ni giza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…