machanel mengine nikuongeza uchafu tu mara tv malawi mara, sasa itakuwa kila nchi wakienda wanatuwekea chanel za huko? maana kwenye FB page yao walisema zinakuja na za Rwanda. mi nadhani si lazima kila nchi wanayokwenda watuwekee chanel za huko
Aisee nimepitia huu uzi naona uko poa mtanisaidia kidogo,
Nimeweka azam tv yangu juz jpili ila decoder haikusachi chaneli hata moja, yaani inakuwa kama vile hujaunga waya wa dishi, fundi wangu alipambana hadi kiza kikaingia akaniambia atarudi kesho, yaan jana ila hakutokea wala sim haipatikani. Hebu nisaidieni wataalamu.
Moshi jombaa
Kuna jamaa kaitupia hiyo pic anadai nw kwa kile kile kishumbusi cha azam hata itv na eatv anaona kafanya hayo mautundu, kuna anae jua hapo satellite ipi imehusika?
Kwani mkuu zina shida gani? Kama vp we zi skip tu hutakuwa unaziona
Hii ni karibu kwa service provider wote wanafanya hivyo
Wadau wote kwa pamoja embu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish la azam umelifunga na linafanya kazi vizuri,chomoa io decoda ya azam tv,chomeka receiver ya FTA{kama unatumia madish haya ya futi 6 na unaipata itv na nduguze} edit io sat ya intel 906 kwa kawaida inakuaga ya kumi na sita,alafu chagua io inayo fata ambayo ni ya 20, kisha tumbukiza frequence hizi.
12728h,30000 simborate utapata free chanel bureee.
editing..
Sasa hivi Wamebadili hiyo @12728
imekuwa @10721h 30000
Nb: soma uzi kwanza kisha ndio ucoment kwani unaweza ku coment vitu ambavyo tayari vimesha jadiliwa tayari.... na sathunting sio msahafu muda wowote tp zinaweza badilika tu.
Nimenunua dish la Azam kwa mtu, nimejaribu kufunga lakini limekataa kbs kushika upande yalipo elekea madish mengine ya Azam. Nikajaribu kulielekeza uelekeo wa madish ya DSTV imeshika, sasa nahitaji kujua fta channels zilizopo ktk upande huo na jinsi ya kuziadd, pia nahitaji kufahamu ikiwa kunamadhara yoyote yatakayo tokea kwa kulifunga ktk mwelekeo tofauti.
Nimenunua dish la Azam kwa mtu, nimejaribu kufunga lakini limekataa kbs kushika upande yalipo elekea madish mengine ya Azam. Nikajaribu kulielekeza uelekeo wa madish ya DSTV imeshika, sasa nahitaji kujua fta channels zilizopo ktk upande huo na jinsi ya kuziadd, pia nahitaji kufahamu ikiwa kunamadhara yoyote yatakayo tokea kwa kulifunga ktk mwelekeo tofauti.
Napenda Morning Star Tv mkuu kama inawezekana, pia kama kunauwezekano wa kupata I24 ile ya kiingereza itakuwa poaunafikiri kuna mtu anaeweza kukuesabia chanel za fta zote za uelekeo huo.?
wewe sema unataka chanel gani usaidiwe.
Ahsante sana mkuu, nimepata channels nzuri sanaaaaaaaa!Zile channel za zambia wamechange frequency ingiza hapa utazipata 10928 H 30000, ikiwemo Emmanuel TV
unafikiri kuna mtu anaeweza kukuesabia chanel za fta zote za uelekeo huo.?
wewe sema unataka chanel gani usaidiwe.