Elimu ya bure kuhusu Azam TV

Star TV ndani ya azzam tv. Kama huioni fanya auto search itakuja.
 
Mkuu,iko kwenye list ya chanel za kawaida kama TBC1 na zingine au yenyewe iko kwenye list ya "other chanels" km Muvi Yanga.Home Base TV,na Imaan TV?
 
Fanya autosearch utaiona kwenye list ya kawaida ipo chini ya clouds tv
 
afadhari sana,maana nilikua na miss BBC saa tatu usku,sasa hivi sina shida tena......wenye DSTV zao wahangaike na bei juu yao
 
Ila king'amuzi nilichonacho nacho cha azamu tv kina ITV. Ila star tc tu ndo hamna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…