WADAU haya maelezo mnayotoa hebu mtusaidie na sisi tunaotumia DSTV maana nasi tunatamani sana kuangalia EPL na VPL uchumi unasumbua kulipia DSTV KIFURUSH CHA 85,000. Kila mwezi ni mshahara wa mtu huo. lakini pia tunapenda ligi .kusema kununua tena AZAM DECODER nayo issue maana hapa nakaa nyumba ya kupanga mwenye nyumba ameshaanza kulalamika kuwa tutaangusha nyumba yake kwa sababu ya kujaza madishi. tupo wapangaji 9 kila mtu ana dish wengine mpaka madish matatu kwa kuataka sifa.nyumba inalemewa ukipita nje utadhan hapa ndo sehemu ya kurushia matangazo