Kwa hiyo Decoder ya Restaurant na decoder ya nyumbani kwako zinatofautiana? wewe ni zaidi ya Pumba acheni kwenda Madrassa kasomeni shule za Mission akili zenu zikae sawa... nimeandika haya kwa sababu nimeshuhudia.. Miislam bana... ni zaidi ya Janga katika kuelewa kitu...''Ishmael'' mjalana
asante mkuu nimepata chanel 4 nyingine muvi tv afrca unite muvi nyimbo na muvi prism
mkuu nipe sat za kuingiza direct kwenye azam decoder bila kutumia mediacom.
PAS 7 10 68 5 east
Tunakatishana tamaa jamani,watu tumejitolea kutoa elimu bure,nyie mnachafua uzi kwa mambo ya kijinga na udini wenu hapa.? Mbona hamtaki kuelimika wa tz.?
so niandike hivyo tu pale kwenue sat.
Usiwe na hasira mkuu si tuendelee na mambo yetu. Jana kweli walionyesha mechi ya man city na stoke kwenye Rodriguez 2, vip game ya chelsea ilionyeshwa channel gani sikuwepo home.kama kuna channel mpya tufahamishaneKuna chanel inatupia Epl live,na jana nimecheki game ya chelsea na everton,kisha man city na stoke,na leo zam ya liverpoo,lakini tutasheaje idear za kuzipata wakati wengne tuna hustle kutafuta,wajinga wanaleta upuuzi hapa.? Mambo yenu ya dini sijui mtume,yesu,ishmaili pelekeni intellijensia uko mkakumbane na akina kiranga,sio hapa bna, kwan mtume/yesu na madish ya FTA wapi na wapi.?
Kuna watu wa hovyo sana umu,tangu jana watu tulikua na nia za kuwapa ujanja mwingne waitaji ili wacheck game za epl,ile kulog in tu, nakuta mambo ya dini.? Nikaona bora nisepe tu,wachemi izo mambo za dini bna. Aaaaqggg
Usiwe na hasira mkuu si tuendelee na mambo yetu. Jana kweli walionyesha mechi ya man city na stoke kwenye Rodriguez 2, vip game ya chelsea ilionyeshwa channel gani sikuwepo home.kama kuna channel mpya tufahamishane
Kwa hiyo Decoder ya Restaurant na decoder ya nyumbani kwako zinatofautiana? wewe ni zaidi ya Pumba acheni kwenda Madrassa kasomeni shule za Mission akili zenu zikae sawa... nimeandika haya kwa sababu nimeshuhudia.. Miislam bana... ni zaidi ya Janga katika kuelewa kitu...''Ishmael'' mjalana
Ndugu mbona unajibu Kwa asira hivyo, ebu tulia kidogo, nakushauri nenda kwenye hiyo restaurant waulize hizo picha zinatoka mojakwa moja kwenye receiver au wana TV nyingine wanaitumia km loop out? King'amuzi cha azam binafsi sijaona channel zenye Giza zote zipo. Narudia tena nenda kawaulize vizuri maana mm natoa majibu ya nikionacho sio cha kuambiwa,scientist wanasena no research no right to speak, angalia comment za wenye hicho king' amuzi
mkuu nipe sat za kuingiza direct kwenye azam decoder bila kutumia mediacom.
Kuna chanel inatupia Epl live,na jana nimecheki game ya chelsea na everton,kisha man city na stoke,na leo zam ya liverpoo,lakini tutasheaje idear za kuzipata wakati wengne tuna hustle kutafuta,wajinga wanaleta upuuzi hapa.? Mambo yenu ya dini sijui mtume,yesu,ishmaili pelekeni intellijensia uko mkakumbane na akina kiranga,sio hapa bna, kwan mtume/yesu na madish ya FTA wapi na wapi.?
Kuna watu wa hovyo sana umu,tangu jana watu tulikua na nia za kuwapa ujanja mwingne waitaji ili wacheck game za epl,ile kulog in tu, nakuta mambo ya dini.? Nikaona bora nisepe tu,wachemi izo mambo za dini bna. Aaaaqggg
rdv,pia kukawa na game ya bunda sliga,ni full raha mkuu,hawa rdv,na yaleo wana rusha,wako vizur sana.
Frequency zake?
mkuu kuna fta kama tano hivi zinatupia epl,ila rdv wao wana rusha two games per week,wako poa sana hawa.
mkuu calm down, nafikiri umemquote jamaa vibaya alimaanisha hao wanaobishana mambo ya dini ndio wapeleke facebook not huku.we jamaa kumbe mtu wa hovyo sana wewe, yani mi napinga mambo ya udin ktk uzi wangu,alaf unanambia naleta mipasho.? Mbaya zaidi unaitaji frequence nikupe ili upate chanel ya RDV.? Jinga sana wewe,shda unayo wewe alafu unaleta maneno ya h.e.d.h.i hapa,nenda ka google sara,m.a.k.a.l.i.o wee..