Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

Uzi na kilichozungumzwa ni vitu viwili tofauti.

Unapoizungumzia "Elimu ni ufunguo wa maisha" sio lazima iwe ya International school... huenda Point yako ulitaka kutuhabarisha kwamba mtoto wa bwana Diamond anasoma Braeburn, sasa sijui tukuchinjie mbuzi au tukupigie makofi. Unajua mwenyewe

Hatuna Rais, Makamo, PM wala kigogo yoyote mwinginewe aliyesoma huko... na wanaishi ndani ya true definition of "Elimu ni ufunguo wa maisha"

Hayo mengine yote ni jeuri ya Pesa tu! Ila hatutakuja kupata rais alisoma IST na huko Braeburn. Kama unabisha subiri.
PM huyu huyu muongo mwaminifu wa taifa?
 
Sahihi, sio wote. Ila wengi wao kuna mambo yalishatengenezwa na wazazi wao.. Sio wakumaliza na kuanza kusambaza bahasha “kwa kubahatisha”.
Na wengi hawatafuti kazi,wapo tu home party daily ,wakiomba mtaji home kibanda cha pizza ,pombe Kali,clothing line ,,wengi hawapendi shule japo kichwani smart ,hao ambao mnasema wapo kwenye taasisi kubwa haizidi 3% ya graduates wa international schools... Na ni ambao wamewekeza akili na muda kwenye masomo..
 
Kila mtoto anaesoma Braeburn ni mtoto wa kishua haswa pengine huyo Diamond ndo miongoni mwa maskini hapo kwahiyo kila mtoto hapo ni hela lakini jiulize kwanini hawaendi kuteka
Suala la ulinzi limezingatiwa labda akatekwe akiwa mikononi kwa babaake
Duh kwahiyo siwezi kwenda kuuza kachori na bagia hapo?
 
POLE SANA! HUNA UJUALO... ILA UMASIKINI NDO UNAWAFANYAGA MSITHAMINI VYA KWENU.

NITAKUDOKEZA TU KWAMBA HIZO SHULE MNAZOZIONAGA NYINYI ZA MAANA NA ZA MATAJIRI NDO MTOTO KUWA SHOGA NA MSAGAJI AU KUSAGANA NI FREE!

NA WANAFUNDISHWA... MITOTO IMEJAA INAKULA BANGE NA MAUNGA NA UTAKUTA DUME LINA BWANA'AKE... JIKE NA DEMU WAKE.

MARUFUKU MWALIMU KUMFOKEA MTOTO HATA KUMKATAZA KITU HATA AKIWEKA MGUU JUU YA MEZA.

KAMA MNAJIDANGANYAGA WANA NIDHAMU NA AKILI POLENI

SERIKALI SIO WAJINGA KUTO-DEAL NA HAO WATOTO KUWA VIONGOZI WA NCHI HATA KAMA NI WAZAWA.
Kwamba akina James Delicious walisoma international?
 
Na wengi hawatafuti kazi,wapo tu home party daily ,wakiomba mtaji home kibanda cha pizza ,pombe Kali,clothing line ,,wengi hawapendi shule japo kichwani smart ,hao ambao mnasema wapo kwenye taasisi kubwa haizidi 3% ya graduates wa international schools... Na ni ambao wamewekeza akili na muda kwenye masomo..
Okay, good to know this.
 
Kwenda huko na vimisemo vyenu vya kujifariji, kapate hela chafu kwanza isiyo na mawazo ndo uje useme haya maneno wakati una option ya kuwapeleka watoto huko ila HAUJAAMUA.
Otherwise umasikini sio sifa.
Usichokijua wew mpumbavu unacholingia hapo ni pumzi ya uhai inayotoka kwa MUNGU, wala sio pesa. Ni hiyo pumzi ndio inayokufanya uniquote kwa kuandika ujinga, kaa ukijua hakuna mwenye uwezo wa kulipia thamani hiyo ya uhai bila Kuishi kwa kumpendeza MUNGU.

Maana siku ya mwisho hutaukumiwa kwa utajiri,umaskini,rangi ya ngozi yako n.k, bali utahukumiwa kwa matendo yako tu, na usichokijua haya maisha niya mda mfupi sana.
 
Nenda jukwaa la mahubiri mbwa wewe
 
View attachment 2812618
View attachment 2812721
Pongezi kwake Naseeb Abdul kwa kuamua kuvunja kibubu kumsomesha mtoto wao yeye na Tanasha Donna aende kupata elimu bora yenye hadhi ya juu, Kama ulikuwa unajiuliza kina Mo walisoma wapi, kina Bakhresa na Gsm wanasomesha watoto wapi, watoto wa mabalozi wanasoma wapi, n.k. jua ya kwamba ni hapa hapa Tanzanja wala sio nje ila shule hizi ni Internationa schools, Ni shule ambazo zipo kila nchi zenye kufuata mitaala ya kimataifa, hata uende Uingereza, Marekani, Dubai, n.k. kuna shule za serikali na private kama huku kwetu lakini kuna shule maalum zinaitwa International schools.

Achana na hizi shule za hapa bongo zilizojipachika majina ya international kimagumashi, Shule international haiwezi kufuata mtaala wa Necta, shule hizi zina mitihani yao maalum ya kimataifs, wana tarehe za likizo tofauti, n.k. vitu wanavyofanana na shule zingine ni kufuata sheria za nchi mfano kutoruhusu matumizi ya dawa za kulevya, ushoga, udini, n.k.

International school zinazofuata mitaala ya kimataifa kama cambridge, Mwanafunzi anaweza kuhama Marekani leo hii na kesho akifika Tanzanja anaendelea na masomo ya jana kama kawaida.

Ni maalum zaidi kwa watoto wa mabalozi na watoto wa wafanyakazi wa mashirika ya kimataifa wanaohama hama nchi, ada za watoto wa mabalozi zinalipiwa na serikali zao, wale wa mashirika ada zinalipwa na mashirika yao.

Ada ni ndefu sana endapo ukitaka kumsomesha mtoto wako kwa pesa zako mwenyewe inabidi usiwe na pesa za mawazo, hata watoto wa Bakhresa, Gsm, Mo wanasoma hapa hapa Tanzania lakini ni kwenye hizi International schools.

International schools ni levels nyingine, hata marekani wana shule zao za serikali na private kama huku kwetu lakini kuna international schools za tabaka la wqchache.

Ada ya mwaka kwa chekechea ni dola 8,395, kwa pesa za kitanzania ukizidisha kwa shilingi 2,500 ni takribani shilingi milioni 21.

Faida za kusomesha shule za international:

  • Mtoto anapata exposure ya kuishi na watu wa mataifa mbali mbali, shuleni kuna waarabu, wahindi, wachina, wabrazil, wanaijeria, wakenya, n.k.
  • Darasa moja halizidi wanafunzi 20
  • wanafundishwa lugha za kimataifa kama kiingereza, kifaransa na spanish kwa ufasaha (kuandika, kusoma, kuongea, lafudhi, usikivu) kama ni yai wanatema lile original (hata Wema Sepetu kapitia huku yai analicharaza haswa), asikudanganye mtu hizi shule za english medium tumezisoma ila tulichoambulia ni kuweza kuandika na kusoma kiingereza kwa level ya kawaida sana, kwenye kuzungumza tunapata sana taabu kwa hizi lafudhi za kibantu (ze boi, ze geli, do zisi, do zati), mzungu wa Marekani au Uingereza mkiongeleshana inakuwa ni kudonoa baadhi ya maneno. huko International walimu ni waingereza, wajerumani, wahispania, n.k. wanafundisha lugha fasaha, na uzuri ni kwamba hata nje ya darasa lugha inayotumika ni kiingereza hakuna haja ya kuwalazimisha.
  • Mtoto ana chance kubwa ya kuja kusoma vyuo bora duniani kama Havard, Oxford, Cambridge, n.k.
  • kusafiri nje ya nchi kwajili ya trips.
  • watoto wanapata connections za watoto wenzao wazito, huwa zinawasaidoa sana hasa wakianza maisha ya kujitegemea, sehemu ambayo mtu unaweza kuchukua mwaka kuingia wao ni suala la kupiga simu tu.
  • Mtoto anapata moto mkali vibaya mno akisoma hizo shule hawezi kuridhika anavyoitwa wa kishua na rafiki zake wa kibongo, anaingia rasmi kwenye tabaka la malengo ya kuingiza walau milioni 20 kwa mwezi ili aweze kuja kuendana na wenzake, sio kuwaza mishahara ya milioni 3
  • Kibiashara ni shule zinazoweza kukuza biashra za familia, Kama baba ni tajiri wa mashamba ya maparachi anayouza kwa wakenya basi mtoto kwa connections na exposure anaweza kupata masoko ya ulaya moja kwa moja na hata kuanzisha kiwanda cha bidhaa, kusoma hizi shule ni sawa na mtu alieishi sana Dar anaenda kijijini anaweza kuona fursa kibao.
  • kwenye kuanzisha biashara kwa wale wasio na biashara za familia zinawasadia, wana uwezekano mkubwa wa kupata wadhamini / grants hasa katika nchi zetu hizi masikini, wana connections za wenzao wa mashirika ya kimataifa na wana exposure, Mfano ni Benjamin Fenandes app yake ni ya kawaida tu lakini imejipatia misaada ya pesa ndefu sana, na hivi sasa kaihamishia huko Kenya, connections na kuwa na exposure ya kuishi nchi zingine kunasaidia.
  • Ajira zenye maokoto marefu, kwa wale wataoamua kufanya ajira mara nyingi hufanya kazi mashirika ya kimataifa kama UN, AU, EAC, Google, Microsoft, n.k. exposure wanayopata, kuzicharaza lugha za kimataifa na connections walizonazo zinawabeba.
Usisahau huku ndo kule anafundisha familia ni aina tatu, baba na mama na mtoto, baba na mtoto, mama na mtoto, baba na baba, na mama na mama... Alafu useme ushoga hauruhusiwiii hapo? 😁😁😁
 
Nasikia hawa hata mbinguni wana sehemu zao special.
 
Umefanya makosa kutaja shule anayosoma mtoto wa Diamond. Watu wenye nia mbaya wanaweza kum kidnap na kumtaka ransom kuutoka kwa wazazi wake. Naamini hata Braeburn School wakiona hii thread hawatapendezwa
Akili mgando. Km hawataki kuwa expose Kwann walipost kuvaa sare na nyuma kunajengo la shule…
Shida watz ni wajuaji sn, akili zimeliwa n mchwa
 
Back
Top Bottom