Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,347
- 64,507
Nina cheti lakini siwezi kufanya maajabu ambayo darasa la saba hawezi kufanya.Elimu ni ujuzi unaochagizwa na maarifa!!
Cheti ni uthibitisho wa kimamlaka kuwa una ujuzi huo
Wengine tuna vyeti lakini hatujui tulichokisomeaCheti ni uthibitisho tu wa ujuzi na knowledge uliyoipata huko shule, kugundua kitu unaweza ila mazingira sio rafiki
Je wote wenye vyeti, wameelimika?Elimu ni ujuzi,wazee wa kale waliweza kutengeneza vitu mbalimbali,Kwa ustadi na akili,hiyo ni Elimu waliiacha,cheti ni kama tiketi ya uthibitisho
Nakubaliana na hoja yako, wapo wenye vyeti vizuri ila utendaji ni sifuriKujibu swali lako...
Itategemea uko nchi gani hapa duniani...
Kwa hapa kwetu (Tanzania) Elimu ni cheti.
Kwa hao walio ajiriwa kuna kipya kipi wanakifanya?Sio wote waliumbiwa kuvumbua au kuunda vitu Mkuu.....lazima wawepo waajiriwa ili maisha yawe balanced
Tukisema, chimbuko la elimu ni mawazo ya watu ambao hawakwenda shule ila walizaliwa na vipaji vyao, tutakuwa tunakosea?Elimu ni maarifa. lakini kugundua kunatokana na vitu vingi mnooo na elimu ikiwa ndani yake...
Gunduzi nyingine zilianza kisha elimu ikafata.. maarifa yalitafutwa baada ya gunduzi, haswa gunduzi za kale.
Kwa hiyo nikiwa na cheti tu bila kuwa na ujuzi wowote, hiyo tayari ni elimu?Elimu ni ujuzi cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha elimu (sio ujuzi)
Elimu ni ujuzi cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha elimu (sio ujuzi)Kwa hiyo nikiwa na cheti tu bila kuwa na ujuzi wowote, hiyo tayari ni elimu?
Kwani daktari anapaswa kufanya nini kipya?Kwa hao walio ajiriwa kuna kipya kipi wanakifanya?
Logic: Elimu ni ujuzi , cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha elimu = cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha ujuzi. Kwa hiyo, mwenye elimu lazima awe na ujuzi; kama hana ujuzi atakuwa hana elimu. Hapo nipo sahihi?Elimu ni ujuzi cheti ni nyaraka ya kisheria kuthibitisha elimu (sio ujuzi
Udaktari ni ujuzi, na si chetiKwani daktari anapaswa kufanya nini kipya?
This what we called natureSio wote waliumbiwa kuvumbua au kuunda vitu Mkuu.....lazima wawepo waajiriwa ili maisha yawe balanced