Elimu ndo mume??

anayefeli kwa sababu kaolewa ni kilaza tu mwenyewe......
siku hizi watu kibao wanasoma na wapo ndani ya ndoa......
 
anayefeli kwa sababu kaolewa ni kilaza tu mwenyewe......
siku hizi watu kibao wanasoma na wapo ndani ya ndoa......
FP sijakataa uwepo wa vipanga, ila katika mjadala tunamwangalia mtu wa kawaida mwenye akili za wastani. Kuna ndoa zingine ndoo zinaitwa ndoa ndoana. Kwa kuona kwako unaweza ukatangaza hapa JF kuwa ndoa zote ni picnic yaani full shangwe, so mtu atasoma tu? Nasimamia hoja yangu, kwa kuwa kwenye ndoa bado hajaingia ni vema akamaliza shule kwanza
 
aah! tusipotoshane hapa! tangu lini elimu ikawa 'mume'? elimu ni elimu na mume ni mume jambo la msingi ni binti kupiga kitabu na kuacha kuendekeza ngono kabla ya wakati wake! tukiita 'elimu' n mume na 'mume' tutamuitaje? 'elimu'? angalieni tusiwajengee mabinti zetu misingi mibovu ikafika wakati wa kuwa katika ndoa wakashindwa kujua misingi ya ndoa badala yake wakaishi ktk ndoa kielimu zaidi.

halafu ndio yaleyale unamwambia mwanao 'condom' ni puto la kuchezea...siku moja mwanao anaona 'used condom' iko chini anaiokota na kuanza kuipuliza akijua ni puto la kuchezea!
 
elimu ni mpango wa maisha si ufunguo wa maisha. ulitaka usome mpaka degree ngapi? Mi nadhani shika moja (ELIMU) muombe MUNGU akupe mume anayekupenda maisha bila mke/mume heshima ya mtu upungua.mwisho upewa majina mengi.kama unakifiria hivyo soma na maandiko ya MUNGU YAKUSAIDIA
 

Haya mzee endelea na mabinti wako utashuhudia mwisho wake
 

Sawa msomi na kiinglishi chako
 
Let me top up hapa my dear sisy elimu ninzuri kuwa nayo tena sana mana itakusaidia hata kureason vitu bt elimu si mume si ndoa na ndoa si kipaimara mama usikurupuke muda ukifika utapata right person at right tyme

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…