Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh,
Hii endorsement mbona ni kubwa mno Kongosho?
Au kuna invoice nyuma yake??
Babu DC!!
Akifa je?Elimu ina nafasi yake katika maisha yako ila aiwezi kukutimizia mahitaji yako yote. Kwa hiyo mume ndio kitu katika maisha yako. Mume anao uwezo wa kukutimizia mahitaji yako yote ya nafsi na roho
Kaunga ,hujanielewa,nimekupa mfano wa mababu nilikua nakupa hali halisi ya ubora wa ubinadamu bila elimu ya darasani
'
Mtu hawi binadamu bora kwa kwenda darasani bali kujitambua
'
Matatizo yanayooneshwa na "wasomi" yanaitia elimu kinyaa
'
Ubora wa binadamu ulikuwepo kabla ya elimu ya darasani kuwepo!
Mke wangu Kaunga kwani hapa tunazungumzia nini?
'
Halafu leo unajitoa akili eeeeh!Unajidai kuwa hujui matatizo ya kizazi hiki eehh!
ahahahahahhahaha babuuuuu una akili wewe!Duuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh,
Hii endorsement mbona ni kubwa mno Kongosho?
Au kuna invoice nyuma yake??
Babu DC!!
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni
rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee
tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
Ni kweli kabisa, wanaume wenyewe siku hizi hawaeleweki ni dizaini ya mzabzab, heri usome upate chako hata ukikutana na wanaume dizaini hii upate pa kuegemea
Sasa mbona wewe nawe unashangaza...wewe ni msomi unashibdwa kupambanua mambo kwa kutumia lugha ya picha anachomaanusha mzee wako ni kwamba elimu ni muhimu kwako haop katumia lugha ya oicha kumaanisha unatakiwa uipende kama vile utakavyompenda mumeo..saasa kAma wewe ni msomi kitu kidogo ka hcho kinakusumbua si utakua namatazizo weee....Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni
rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee
tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
Hebu na hii elimu itusaidie sasa maana inaonekana hata tukiwa na PhD, bado hatuelewi elimu ni nini na mume ni nini. Hii ni jambo baya sana na la kusikitisha. Hivi hizo zero za kidato cha nne zinashangaza nini ikiwa hata wale waliopata one na wana shahada tena sio moja wanasema elimu ndio mume? Huu ni ujinga wa kutoelewa elimu ni nini na mume ni nini isipokuwa ni kutafuta namna ya kupata kisingizio tu kuwa siolewi kwa sababu nina elimu kubwa...pumbaaav, nani alikwambia elimu ndio mume? Ingekuwa hivyo hao wanawake wenye degree zao wanaolazimisha "kupandwa" na vijana wa kijiweni wasiojua hata hilo darasa ni nini nao utasema elimu kwao ni nini? Kwa taarifa yako, pata vyoooote duniani lakini usikose "kupendwa" au "kukubalika" anagalau hata na mtu mmoja ambaye atakuona nawe "umo" panoja na elimu yako. Hapa mnasema elimu ndio mume kwa kumaanisha maisha ya kizamani kuwa mume ndio kila kitu kwenye familia, sio kweli nyakati hizo zimepita, badilikeni!!! Elimu itasaidia kukufumbua macho na kuwa mjuzi wa mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na ustaarab wa kuishi na huyo mume, cha ajabu eti elimu ndio mume basi hata asiyesoma kabisa akiolewa tu akapata mume tayari atakuwa amepata elimu maana elimu = mume, then mume = elimu, ni simple math tu.Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni
rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee
tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????
ahahahahahhahaha babuuuuu una akili wewe!
kama mimi mjukuu wako
sema tu sikukusililiza ulivokuwa unasema nisome kwanza
mi nilimiski vyote vyote bana at 16 na kakid at 22 ndoa at 30 miaka 8 ya ndoa!
uuuuuwih i hope binti yangu hasomi hii makitu hapa!ntaliaje!
ila wa aina ya mimi na Nyamayao tupo wachache sana babu!
na sidhani kama inahalisikia fasta fasta!ila ndo hvyo so mimi sio mwalimu mzuri kweny hili i see wala msiniruhusu niwe Mentor katika hili!please!
,mfano wangu unafaa kwa bnti yakiwa yameshamkuta sio akiwa bado kigori ataona ni rahs sana mbon huyu kaweza kumbe ilikuwa ngumusana i see!mume wa aina ya mtuhumiwa wake Dark City sijui kama badio wanaexist (af mke mwenywe uuuuwih i love the fact ananipenda licha ya ufyatu huu nilionao)
MABINTI PIGENI SHULE SHULE SHULE SHULE!
mie nasemaje, kama mtu anaweza kumaliza mambo muhimu kabla ya kuingia kwenye ndoa ni poa sana, shule jamani, wengine tulibeba mimba tukiwa chuo, ni kimbembe aisee, lakini tulibotoa kikaeleweka, hahahah
umeona enh sweetheart!
bora wewe chuo mwenzio shule!
its not something to be pruoud of but it made me strong ile mbaya,huwa nikikumbuka nilivopiga shule nilivokuwa A'level ahahahhah ilinishape ile mbya!utundu wote kapuni!
ila kuna vitu naamini nisisngekuwa na aina ya wazazi nilionao isingekuwa the way it was!mabinti wasome i see!wasome tuu!mume aina ya msukuma wako na mheshimiwa wangu kwa kizazi hikicha hawa watoto hawapo!ila hawalielewi hawa!lol
Baba anasema elimu yako ndo mume wako. Soma mwanangu chonde chonde elimu yako ndo mume wako. Kuolewa ni
rizki too after mafanikio ya mume elimu. Jamani kweli hiii lakini. Maana generation za sasa tunabanwa sana na wazeee
tusiolewe mpaka tumalize degree. Jamani hembu ushauri kidogo. Baba yuko sawa hapa????