Elimu ndio kila kitu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ndio kila kitu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jhonie, Apr 4, 2012.

 1. j

  jhonie New Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa miaka mingi Sanaa ya Tanzania imekuwa ikikuzwa na kuendelezwa kwa kile kilichoitwa kipaji pekee, hili limefanya sanaa yetu isimame na isisonge mbele kulingana na mabadiriko ya sayansi na teknolojia, mbaya zaidi watu waliowahi ingia katika sanaa hasa hasa zinazohusiana na utaalam mkubwa kama muziki na filamu wamepiga teke elimu kwa makusudi,hivyo tunashuhudia sanaa inayokwenda bila muelekeo maalum, hivyo basi natoa wito kwa wasanii na wapenda sanaa kwa ujumla kuelewa umuhimu wa elimu kwa yale wanayoyafanya, ukosefu wa elimu umelepelekea kutokujiamini kwa wasanii wengi sana na hii huwafanya wao kutokujua kuwa ni mabosi wa mameneja wao, lakini wao huhisi mameneja ndio mabosi wao, elimu kuna njia nyingi sana za kuipata jamani si lazima uende ukaanze darasa la kwanza au form one,
   
Loading...