Elimu na uelewa wa watangazaji wa clouds fm

'Sijabahatika' kuangalia hicho kipindi ila nadhani yule Sasali ana bachela ya rasilimali watu....
Tatizo sio elimu, ni profeshnalizm. Mtu hajasomea utangazaji atapata wapi weledi?
 
Kwa hiyo wanaofuatilia na kuwapigia simu kuwapongeza unawaweka kundi gani? Maana kamanda umewa disvalue

Kwa kweli hapo mi ndo nashindwa kushangaa aisee, maana hawa jamaa huwa wanapigiwa simu na kusifiwa sasa hapa naona wanapigwa za uso sasa sijui wale ambao huwa wanapiga simu wana elimu za kiwango gani
 
ila wasikilizeni kimakini zaidi mtagundua wale jamaa wanakosoa sehemu fulani kimtindo mbinu wanayoitunia ni ile ya MUUE ADUI YAKO HUKU UKIMTABASAMIA NA KUMCHEKEA.
poa sana kipindi chao maana kila mtu anahitaji jambo kwa mtindo wake.
kumbukeni ni mengi tu yaliigwa kutoka kwao ingawa wanaonekana siyo.
ni bora basi nuwe mnawapigia simu na kuwaeleza wazi lakini kuwasema pembeni ni UMBEA.
 
Mmmmh, kwa clouds huezi tafuta msomi ukampata.... Tusiwe wambea ktk hili. Hii ni media iliyojaa vijana wa bora tuongee tu.

Mkuu wa nchi aliwapgia simu kwa kuwa tu kuna kipengele walimsifia na si vinginevyo, Kama tujuavyo, hakuna mfalme asiependa kusifiwa
hii ni media ya vijana na sio raisi pekee anayeisifia viongozi mbalimbali wakitaka kuwakusanya na kuwapata vijana kwa urahisi ni media hii ndio kwa sasa inatumika zaidi kwa kuwa wengi wa vijana wanaifuatilia.............hizo sababu zako ni tia maji tia maji haziendani na ukweli hata kidogo
 
Naomba kujua elimu ya hawa watangazaji wa Clouds 360, wamesoma vyuo gani? Najiuliza hivyo maana discussions zao huwa ni za kama watu wa vijiweni wasiokwenda shule.

Anyway, labda kuna audience wanayoilenga ya viwango kama hivyo.
Wewe ndo utakuwa Na IQ ndogo, maana wale jamaa wanatumia sarcasm, kulingana Na issue wanayotaka kui address, so kuwaelewa Ni lazma uwe complete upstairs.

Binafsi mi huwa nawaelewa vizuri
 
Ukiona mtu anawabeza hawa jamaa wa 360, jua kabisa uelewa wake Ni Mdogo Sana. Maana hawa jamaa huongea vitu sensitive Sana kwa kutumia sarcasm, so Kama we unawaza disco hapo utatoka kapa
 
Wewe ndo utakuwa Na IQ ndogo, maana wale jamaa wanatumia sarcasm, kulingana Na issue wanayotaka kui address, so kuwaelewa Ni lazma uwe complete upstairs.

Binafsi mi huwa nawaelewa vizuri
Well said. Humu JF wengi wanajiona wana akili sana ila ukiwasoma utagundua ndio vi.laza.
 
Ukiona mtu anawabeza hawa jamaa wa 360, jua kabisa uelewa wake Ni Mdogo Sana. Maana hawa jamaa huongea vitu sensitive Sana kwa kutumia sarcasm, so Kama we unawaza disco hapo utatoka kapa
Huwa nawasikiliza....utakuta mmoja anajidai haelewi very simple issue then mwenzie ndio anajaribu kumfafanulia wakati katika hali halisi wote wanajua nini kinaendelea,kosa liko wapi. Sasa ukikurupuka kama mtoa mada utapata conclusion yake.
 
...haha, hii style yao Ni nzuri Sana Na imetatua matatizo mengi Sana, nimekuwa nikiwasikiliza kila siku asubuhi nikiwa kwenye foleni, huwa Na enjoy Sana, maana style yao ya message sent, wahusika huwaelewa direct
 
Back
Top Bottom