Elimu na uelewa wa watangazaji wa clouds fm

Mmmmh, kwa clouds huezi tafuta msomi ukampata.... Tusiwe wambea ktk hili. Hii ni media iliyojaa vijana wa bora tuongee tu.

Mkuu wa nchi aliwapgia simu kwa kuwa tu kuna kipengele walimsifia na si vinginevyo, Kama tujuavyo, hakuna mfalme asiependa kusifiwa

Asante umefafanua vizuri. Kupigiwa simu na Mtukufu siyo hoja. Mtukufu ni susceptible to mistakes, hivyo siyo standard ya kipimo
 
'Sijabahatika' kuangalia hicho kipindi ila nadhani yule Sasali ana bachela ya rasilimali watu....
Tatizo sio elimu, ni profeshnalizm. Mtu hajasomea utangazaji atapata wapi weledi?

Sure, unaona kuwa wana mapungufu makubwa ya utangazaji. Ni kama watu wa vijiweni wasio na taaluma yoyote
 
360 na kituo chote hamna kitu pale, wanapoteza mda mwingi wakisubili jamaa yao awapigie simu. Pale kuna program za ajabu utasikia kipepeo, Mara tegua mtego, mwingine anatembea na guta huku kavaa pensi.n.k
 
threads za majungu kama hizi hazina mashiko hata kidogo

CV ni muhimu kama unataka kuwa mtumishi wa umma, ingelikuwa ni domestic issues za chumbani kwake, no body will bother. As long as unatumikia umma tutataka kujua weledi wako hasa pale tunapokuwa na mashaka na what you deliver to the public
 
Mkuu kwa taarifa yako tatizo la watanzania wengi sio elimu ya vyeti. Hiyo wengi wanayo...tena ya kukaririshwa na kupata excellent certificates/papers.

Upungufu mkubwa kwa hao wasomi wetu wengi wa vyeti uko kwenye professionalism, analytical skills, articulation na soft skills nyingine muhimu.
 
ila wasikilizeni kimakini zaidi mtagundua wale jamaa wanakosoa sehemu fulani kimtindo mbinu wanayoitunia ni ile ya MUUE ADUI YAKO HUKU UKIMTABASAMIA NA KUMCHEKEA.
poa sana kipindi chao maana kila mtu anahitaji jambo kwa mtindo wake.
kumbukeni ni mengi tu yaliigwa kutoka kwao ingawa wanaonekana siyo.
ni bora basi nuwe mnawapigia simu na kuwaeleza wazi lakini kuwasema pembeni ni UMBEA.

Hapa siyo pembeni, ni social media accessible to anybody
 
Wewe ndo utakuwa Na IQ ndogo, maana wale jamaa wanatumia sarcasm, kulingana Na issue wanayotaka kui address, so kuwaelewa Ni lazma uwe complete upstairs.

Binafsi mi huwa nawaelewa vizuri

Uko sawa, you are the right audience I am talking about
 
mkuu mi nahic pale elim c kigezo saana.... na kuna uwezekano mamlaka ya udhibiti kwenye tasnia ya habari wamelala katika hili
 
Back
Top Bottom