Pure nomaa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 1,158
- 1,388
Ukikosa elimu utashindwa kumliki pesa yako. Kuna elimu ya maisha, na ile ya masomo, but elimu ni muhimu.
Elimu haileti pesa.
Elimu inaleta maarifa.
Ni vizuri kuwa na elimu na pesa kwa wakati mmoja manake elimu itakupa maarifa ya kutumia pesa!
Na matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa juzi pia nimefaulu...utaniletea zawadi ya kompasi eeh?swahiba una akili ndo maana chekechea ulifaulu.
Sijasema lazima kusoma, nimesisitiza kuna elimu ya masomo na ya maisha. Kuna watu hawakusoma ila wanafanya biashara yao au wanalima kilimo chao na kuyapeleka maisha kuliko hata walio soma. Ila all in all bila elimu (at least elimu ya maisha) huwezi kufika mbali na gunia lako la dollars.bila pesa utasoma?
Na matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa juzi pia nimefaulu...utaniletea zawadi ya kompasi eeh?
Sijasema lazima kusoma, nimesisitiza kuna elimu ya masomo na ya maisha. Kuna watu hawakusoma ila wanafanya biashara yao au wanalima kilimo chao na kuyapeleka maisha kuliko hata walio soma. Ila all in all bila elimu (at least elimu ya maisha) huwezi kufika mbali na gunia lako la dollars.
mtaani kwetu kuna jamaa alimwambia mzee wake sitaki kusoma hakuna kinachoingia akilini nikiwa class,Ukikosa elimu utashindwa kumliki pesa yako. Kuna elimu ya maisha, na ile ya masomo, but elimu ni muhimu.
Wakubwa naomba mnisaidie hii mada kidogo,ELIMU na PESA bora nini maana unaweza kusoma vyuo vikuu hata zaidi ya mia lakini ukaacha chuo ukaenda kuomba kazi je kuna umuhimu kama leo hii ukizaliwa uokote fuko la pesa ili usisome?
Elimu haileti pesa.
Elimu inaleta maarifa.
Ni vizuri kuwa na elimu na pesa kwa wakati mmoja manake elimu itakupa maarifa ya kutumia pesa!
Nataka swahiba....nitakuletea na four figure. Sawa eeh? Ufutio hutaki?