Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,364
- 1,078
Kwa mtazamo wako na hali halisi ya sasa Kati ya elimu na pesa wewe unachagua kipi toa maoni yako... Karibu
Hahaha kama huna Elimu unaweza vp kuendesha pesaPesa kaka tunasoma ili tuweze kupata pesa hapo baadaye ila pesa ikipatikana kirahisi unaweza acha kusoma ukashika mpunga wako heshima kitaa ikawepo kuliko yule aliyesoma degree hapafu hana kitu chochote
We umenena bro it's better to have just little knowledge you will generate moneyELIMU GENERATES MONEY
Money money moneyyyyyy
Elimu ni ujinga???ACHENI KUFANANISHA PESA NA VITU VYA KIJINGA
Ukampa audaaaah jana nlikutana na jamaa angu ana masterz akaniomba nimtoe hela ya lunch wakat mi ni form 4 leaver
nlimpa mkuu manake ndo alikuwa ananipaga chabo kwenye pepaz.Ukampa au
hahahanlimpa mkuu manake ndo alikuwa ananipaga chabo kwenye pepaz.
Nini maana ya mapinduzi kutokana na statement yakoMaisha ni mapinduzi,kwahiyo kila kitu kina umuhimu wake,..
Unaanza na mapinduzi ya elimu kisha unafanya mapinduzi ya pesa..
Kiufupi ukiwa na hela bila elimu ni ulemavu na kuwa na elimu bila hela ni elemavu...