Elimu na Pesa bora nini?

Elimu na Pesa bora nini?

Pesa kaka tunasoma ili tuweze kupata pesa hapo baadaye ila pesa ikipatikana kirahisi unaweza acha kusoma ukashika mpunga wako heshima kitaa ikawepo kuliko yule aliyesoma degree hapafu hana kitu chochote
Nina kaka wawili wana degree moja moja lakini mwaka wa nane huu wanazeeka bila hta kuwa na kazi wala kiwanja cha mita 10 wakat mi elimu form four ila namshukuru Mungu nina hali inayoridhisha
 
Wachumi hawahesabu pesa kama capital lakini elimu ni investment inajenga human capital ya mtu binafsi na nchi kwa ujumla. Hivyo elimu ni namba moja.
don`t take life too serious,we`re not permanent here,shauri zako...endelea kuupoteza muda.
 
Shida ni wengi kufikiri elimu ni hadi uwe na shahada au stashahada ili hali hata darasa la 4 ni elimu
 
Nina kaka wawili wana degree moja moja lakini mwaka wa nane huu wanazeeka bila hta kuwa na kazi wala kiwanja cha mita 10 wakat mi elimu form four ila namshukuru Mungu nina hali inayoridhisha
Kwa hiyo elimu ya form four unaichukulia kawaida sana. kuelimika ni kuweza kuhamisha mafundisho uliyojifunza katika kukabili changamoto za maisha ya kila siku. kuwa na degree na masters sio guarantee ya kipimo kuwa mtu ameelimika. Gwiji wa elimu ya fizikia Albert Einstein anasema elimu ni kile kinachofanywa na mtu baada ya shule. Wewe umeweza kutumia mafunzo uliyoyapata kuzikabili changamoto zako.
 
Mtoa mada ungesema ni ukomo upi wa elimu tunazungumizia kama ni degree au darasa la saba, maana mi ninawajua darasa la saba wengi wanapesa za hatari waliojifanya na videgree vyao kuja kua na pesa mpaka miaka 45 - 60 tena helanya mkopo na anasubir kiinua mgongo ndo ajenge
 
don`t take life too serious,we`re not permanent here,shauri zako...endelea kuupoteza muda.
Inasikitisha hasa unapoona vijana wanaingia chuo na msimamo wa pesa kwanza.
 
Mtoa mada ungesema ni ukomo upi wa elimu tunazungumizia kama ni degree au darasa la saba, maana mi ninawajua darasa la saba wengi wanapesa za hatari waliojifanya na videgree vyao kuja kua na pesa mpaka miaka 45 - 60 tena helanya mkopo na anasubir kiinua mgongo ndo ajenge
Elimu ni elimu Ata kama darasa la chekechea suala ni elimu tu
 
Kwa hiyo elimu ya form four unaichukulia kawaida sana. kuelimika ni kuweza kuhamisha mafundisho uliyojifunza katika kukabili changamoto za maisha ya kila siku. kuwa na degree na masters sio guarantee ya kipimo kuwa mtu ameelimika. Gwiji wa elimu ya fizikia Albert Einstein anasema elimu ni kile kinachofanywa na mtu baada ya shule. Wewe umeweza kutumia mafunzo uliyoyapata kuzikabili changamoto zako.
Ni kwel uyu tayar Ana elimu
 
Back
Top Bottom