Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,817
- 58,463
Ijumaa leo mambo yalikua mengi mno πππππulipotelea wap siku nzima ππ
Ila nishamaliza sasa ni full shangwe
Ijumaa leo mambo yalikua mengi mno πππππulipotelea wap siku nzima ππ
izo shangwe tunaanzia wapiππIjumaa leo mambo yalikua mengi mno πππππ
Ila nishamaliza sasa ni full shangwe
Kwa sasa nakusikiliza wewe tuanzie wapiizo shangwe tunaanzia wapiππ
mimi tena!!!,ivi unakumbka ulvosema jana?Kwa sasa nakusikiliza wewe tuanzie wapi
Wavaa chupi ni mafisadi my friend tuwe makini