Elimu kuhusu Bruhm na TLC led TV

Elimu kuhusu Bruhm na TLC led TV

Ok website yao ipo. ...ata ukigoogle utaiona. ..ila kampuni hiyo siyo kongwe kivile na ili base sana kwenye fridge na air conditioner. ....sasa waneingia kwenye TV na kumbuka wao wenyewe ndio wametoa Tv zenye android operating system. .then product fake huwezi kuta kwenye maduka kama the game kaka
Samsung walitoa siku nyingi android TVs
 
Ok its ok hatukuja kubishana hapa bali kuelimishana. ..LG wameanounce kuanzia mwakani wataanza kutoa TV za Andoid, SONY mpaka sasa hawana na hawaja anounce, SUMSUNG nao hawana. ..sasa yeboyebo hapo ipo wapi?
Samsung zipo android
 
Au kuna brand nyingine unaweza pendekeza mkuu?
Na pia resolution nzuri kwa hizi flat ni ipi? Hasa kwa movie na game na je kuna utofauti kati ya 720p-1080p na HD au ipi ni nzuri kati ya hizo?! ahsanteh
720p ni HD na 1080p ni full HD nzuri kati ya hizo ni 1080p hivyo hakikisha ina 1080p.
 
Hivi hakuna brand nzuri zinazotumika Ulaya, USA zaidi ya hizi brand za kiasia, yaani Sony, LG, Hitachi, Panasonic, Sharp, Samsung, JVC
Vipi Philips, Kenwood, Technics, hawatengenezi smart TV?
Ni brand zipi bora zaidi za huko Ulaya na Marekani zinatumika sana. Ili tuagize Online...ili kukwepa vitu fake vya kiasia. Inauma sana unanunua kitu chako baadae unagundua kuwa ni fake.
mkuu manufacture wakubwa wa display ni lg na samsung kokote utakapoenda ni wao, hata ingekuwa ni bidhaa za USA pia unaweza uziwa fake vile vile, sababu umenunua samsung fake haimaanishi ni samsung ndio katengeneza hio bidhaa fake bali ni kampuni nyengine. cha muhimu nunua kwenye agent wa uhakika na hakikisha unapewa warranty ili likitokea lolote unairudisha.
 
Back
Top Bottom