Elimu kuhusu Bruhm na TLC led TV

Elimu kuhusu Bruhm na TLC led TV

Ok its ok hatukuja kubishana hapa bali kuelimishana. ..LG wameanounce kuanzia mwakani wataanza kutoa TV za Andoid, SONY mpaka sasa hawana na hawaja anounce, SUMSUNG nao hawana. ..sasa yeboyebo hapo ipo wapi?
 
Ni vema ukanunua tv toka kwenye brands zinazoeleweka...LG,SAMSUNG na SONY ndo leading brands kwenye tv....Hao bruhm na TCL ni takataka tu kwanza hazivutii ukiweka ndani unaonekana umenunua mdosho nakushauri usinunue
 
kaka mi naziona tv za android tena nyingi sio moja wala mbili ni mamia kwa mamia. hizi hapa chahce toka kampuni maarufu, google majina yake kama utataka kuzisoma zaidi

1.toshiba REGZA
l4300_4_0.png

2.JVC PD-43N910
JVC_3_D_Slimline_5052de08e88af.jpg

3.Philips 55PUS8909C
7.jpg

4.hisense vision series
1405284374358.png

na kukuhakikishia kuwa ni yeboyebo zaidi angalia search result ya android tv alibaba
Android Lcd Tv, Android Lcd Tv Suppliers and Manufacturers at Alibaba.com
 
true kaka,ingawa hata wewe ukiiona bruhm hakika utaipenda kama usingekuwa ugeni wa jina
 
kaka mi naziona tv za android tena nyingi sio moja wala mbili ni mamia kwa mamia. hizi hapa chahce toka kampuni maarufu, google majina yake kama utataka kuzisoma zaidi

1.toshiba REGZA
l4300_4_0.png

2.JVC PD-43N910
JVC_3_D_Slimline_5052de08e88af.jpg

3.Philips 55PUS8909C
7.jpg

4.hisense vision series
1405284374358.png

na kukuhakikishia kuwa ni yeboyebo zaidi angalia search result ya android tv alibaba
Android Lcd Tv, Android Lcd Tv Suppliers and Manufacturers at Alibaba.com

mkuu,hv kuna haja kweli ya kununua hz smart tv kama nina komputa mpakato?tofaut yake na tv nyingne ni ipi ukiacha uwez wa ku_access internet through wifi?kwa watz wa kawaida ina make any difference?
 
mkuu,hv kuna haja kweli ya kununua hz smart tv kama nina komputa mpakato?tofaut yake na tv nyingne ni ipi ukiacha uwez wa ku_access internet through wifi?kwa watz wa kawaida ina make any difference?

ninachosema hapa ni personal opinion tu.

hakuna haja ya smart tv na ukinunua jiandae kuchunguliwa kwani terms and condition za smart tv nyingi zinaruhusu kukuchunguza wewe, ina maana ukinunua umekubali wachukue data zako wanavyotaka.

pia tofauti ya bei ya smart tv/isio smart tv ni kubwa japo tv zinaweza kuwa na specs sawa.

Researchers: All Smart TVs spy on you, Sony monitors all channel switches | Myce.com
 
Very Interesting. Nami nilitaka kuulizia ubora wa bidhaa za bruhm pia maana kuna sehemu wanauza bruhm inch 22 full HD kwa 300,000 tu.
 
Very Interesting. Nami nilitaka kuulizia ubora wa bidhaa za bruhm pia maana kuna sehemu wanauza bruhm inch 22 full HD kwa 300,000 tu. Angalao nimepata mwanga sasa
 
Very Interesting. Nami nilitaka kuulizia ubora wa bidhaa za bruhm pia maana kuna sehemu wanauza bruhm inch 22 full HD kwa 300,000 tu. Angalao nimepata mwanga sasa

product ni nzuri,picture clarity ni bora kuliko samsung,tatzo hata website hakuna,nchi znapotengenezwa hatujuh,kuna mdau hapo juu kasema anajua web yao,
 
Ulinunua
product ni nzuri,picture clarity ni bora kuliko samsung,tatzo hata website hakuna,nchi znapotengenezwa hatujuh,kuna mdau hapo juu kasema anajua web yao,
M
 
Yes,after 5months nkanunua sony,quality ya picha ilikuwa inapumgua haraka sana,ilishakufa
 
kwanini bei inakuwa kubwa hv kwa hizi tv? ichunguze zaidi usikubali tu moja kwa moja kuwa ni ya ujerumani maana inawezekana makao makuu yapo huko ila kila kitu wanafanya china
Taiga kubwa kama German haliwezi tengeneza bidhaa na isiweke made in German hao ni wababaishaji wa kichina ukijalibu kufuatitilia hata hizi flat tunazonunua kama sumsung au Sony nyingi c za nchi husika za asili kwa brand hizi Mara nyingi utaona Malaysia,vietmam ,India,Pakistan, etc. Pia hutengenezwa kwa teknolojia ya wahusika wa brand hizo chini ya uangalizi bila kuharibu soko na hata bei inasimama kiasi
 
asanten kwa ushauri tv yangu acaustic inch 32 flat ilishajifia zamaaani imepiga radi tu chaliiiiiiiiiiiii !nimeiifadhi tu likioo hapa nimepata tution safi saana
 
Poleni kwa majukumu wadau wa jukwaa la teknologia, naomba tujadili ubora wa bidhaa za led tv kutoka brand hizi mbili,binafsi nlienda kununua sony led tv atleast ya kuanzia inch 40 pale game mlimani city lakini katika hali isiyo ya kawaida nkakuta brand mpya ya bruhm,

Kiukweli nlipenda muundo wake nje na picture/vdeo clarity, yaan iko vizuri kuliko sony na samsung,nimefkia hii coz nilipata wasaa wa kuona aina moja ya channel na movie 1 ya hd kuptia brand zote 3 na bado bruhm ilionekana bora kwenye macho yangu.

Kwakuwa bruhm tv ni mpya kwangu nikaamua kuacha maamuzi ya kununua tv siku hyo na nkaanza kufanya utafiti juu ya bruhm lakini mpaka sasa sijaweza kujua country of origin wala website,hawa jamaa wana appliance nying tu kama ac na feni,

Sasa wana jamvi naomba tuijadili ili mimi na wengne wanaotaka kununua bidhaa zao wawe na ujasiri,mara nying nka_search owners wake napelekwa tcl
karbuni
Bruhm,Tlc,sansan,singsung,kodtek zote ni kitu kimoja. Zote zinatumia chips zinazofanana. Tofauti ni housing na majina. Ubora wa hizi bidhaa ni wa kawaida kulingana na bei zake. Pia sio fake wala sio substandard . Zina uvumilivu kiasi fulani
 
minimum 60hz yoyote inayopanda zaidi ya hapo ni nzuri kwa games.

na jinsi resolution inavyopanda ndio jinsi refresh rate inavyopungua, siku hizi kuna tv za 4k ni 24hz tu. unaweza toa mamilioni ya hela ukanunua hata super mario ukashindwa kucheza.

kuna tv fulani za plasma ni 600hz hizi ni nzuri sana kwa games hasa kama unafanya emulation (ps2, gamecube, wii) zipo za 720p na 1080p na bei zake pia ni nafuu sana.

sifahamu kodi za tv zipoje hapa bongo na kama kuagiza online au kununua hapa hapa nchini kupi kunalipa.

nenda site ya kununulia vitu online kama amazon search 600hz zitakuja nyingi tu.

Mkuu unashauri nini hapa mtu achukue SMART TV Brand TCL ya inch 40 au LG LED TV 40 kwa bajeti hyo led imeiptita kidogo hyo smart.ushauri mkuu kwa hili!! Au kama brand nyingine utaipendekeza ni sawa mkuu
 
chukua hio LG, halafu nunua adapter ya miracast (kama una simu nzuri) then tv yako itakuwa smart kushinda hio smart tv.

unaweza nipa link nikaangalia specs nyengine?
 
chukua hio LG, halafu nunua adapter ya miracast (kama una simu nzuri) then tv yako itakuwa smart kushinda hio smart tv.

unaweza nipa link nikaangalia specs nyengine?

Au kuna brand nyingine unaweza pendekeza mkuu?
Na pia resolution nzuri kwa hizi flat ni ipi? Hasa kwa movie na game na je kuna utofauti kati ya 720p-1080p na HD au ipi ni nzuri kati ya hizo?! ahsanteh
 
Hivi hakuna brand nzuri zinazotumika Ulaya, USA zaidi ya hizi brand za kiasia, yaani Sony, LG, Hitachi, Panasonic, Sharp, Samsung, JVC
Vipi Philips, Kenwood, Technics, hawatengenezi smart TV?
Ni brand zipi bora zaidi za huko Ulaya na Marekani zinatumika sana. Ili tuagize Online...ili kukwepa vitu fake vya kiasia. Inauma sana unanunua kitu chako baadae unagundua kuwa ni fake.
 
Back
Top Bottom