PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari wakuu!?..
Naomba kujuzwa elimu na utaalam pia mahitaji na mchanganuo wa kuunda email za kibiashara zinazokua katika muundo wa mfano huu;-
sales@pistolgang.com /
info@pistolgang.com
Natakiwa kufuata kanuni na njia zipi kufanya hivyo?
Naomba kuwakilisha
Asante.