Elimu kisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma sana

ndusyepo

Senior Member
Jul 2, 2013
165
41
Jamani hizi elimu zisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wengine hatujasoma lakini tunaupendo wa dhati mtuangalie na sisi, sasa mkioana wote mliosoma na sisi tutaoa/kuolewa na kina nani na upende usipende ambao hatujasoma sana ndo tunajua kupenda na kujali vibaya mno.
 
jamani hizi elimu zisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wngine hatujasoma lakini tunaupendo wa dhati mtuangalie na sisi....sa mkioana wote mliosoma na ss tutaoa/ kuolewa na kina nani.......na upende usipende ambao hatujasoma sana ndo tunajua kupenda na kujari vibaya mno.
Ukiona hivyo jisajili na shule kwanza, mapenzi baadaye
 
jamani hizi elimu zisiwe kigezo sana cha kutafuta wachumba maana wngine hatujasoma lakini tunaupendo wa dhati mtuangalie na sisi....sa mkioana wote mliosoma na ss tutaoa/ kuolewa na kina nani.......na upende usipende ambao hatujasoma sana ndo tunajua kupenda na kujari vibaya mno.
Tusyaga itolo
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom