Elimu juu ya Udhu

Felixtz

Member
Oct 19, 2015
55
17
Habali wana JF,

Natumai mu wazima wa afya. Ningependa kufahamu katika swala zima la kusimamisha swallah, je ina umuhimu kufanya udhu kila unaposwali?

Kwa mfano ukafanya idhu na kusimamisha swala ya fajr, je utahitajika tena kufanya udhu kwa swala zijazo, na vp kama sehemu iliyopo sio rafiki katika kufanya udhu, unaweza tu ukaswali pasipo kufanya udhu?
 
Udhu ni miongoni ma masharti ya kukubaliwa swala yako hivyo ni lazima kila unapotaka kuswali hakikisha umeshika udhu.

Unaweza ukatunza udhu uliochukuwa swala ya ya Adhuhuri ukautumia kuswalia swala ya alasiri ikiwa mambo yafuatayo hayajakutokea baina ya interval ya swala na swala, yani mambo yanayo batilisha /kufuta/kuondoa udhu.

Mfano, kujamba, kujisaidia haja kubwa au ndogo, kutokwa na manii, kumshika au kushikwa na mwanamke kwa matamanio, kupitiwa na usingizi, n.k.

Pia tambua kuwa unapokosa maji unaweza ukatumia mchanga ulio safi (Atayyamum) ambapo utakusanya mchanga safi kisha utaupiga na viganja vyko 2 utajipangusa mikononi na miguuni hakikisha mchanga una vumbi na sio tope.
 
Swadaqta, kuna Swali shk kama sehemu hiyo ulipo hakuna maji wala mchanga kabisa inakuaje katika kuchukua udhu??!!
 
Kama hkuna maji wala mchanga ,tafuta jiwe(hajar) ukikosa jiwe tafuta majani ya mti,(shajar) ilimradi hakuna sabb ya kuswali bila udhu. Kwa hio kwa jiwe na majani utafuata formula ya kutia udhu kwa mchanga.
Allahu Áalam.
 
Udhu ni kujitoharisha kimwili na tohara inafaa hasa ukitumia maji safi, vipi unapotumia jiwe au majani unapataje hiyo tohara ikizingatiwa kwamba vitu hivyo jiwe/majani ni vitu vilivyokuwa exposed kwenye vumbi, takataka na hata vinyesi vya wanyama na ndege, katika mazingira hayo udhu inakuaje unaitwa udhu ??!!
 
Umetakiwa utafute jiwe/mchanga safi, kama ambavyo umetakiwa kutafuta maji safi na salama,uislamu haujaweka sheria za kumdhuru mti.Udhu ni ibada ya mwili na roho (nia yako ni ibada ya kiroho)
 
Udhu ni ibada ya mwili na roho ?!!--- kama ndiyo hivyo na swala nayo ni kitu gani !??.

Kuhusu kutafuta jiwe au mchanga safi, ni katika mazingira gani upate jiwe na mchanga safi ??!

Nadadisi tu ili nipate kujua kwani fikra zangu zinaona ugumu katika jambo hilo.
 
Kuna ibada zinahusisha mwili na roho (imani) mfano, swala, funga, hijja, udhu, tendo la ndoa, jihad n.k.
Kuhus usafi wa jiwe na mchanga inatgemea msikiti ulipo jengwa, lkn hukosi hivyo vitu, hivi utakuwa upo wapi ww hata ukose, maji, mchanga, jiwe, magome ya mti, majan, hiz zote ni options za kkfanya ushik udhu, kwa kifupi hakuna uduru wa kuswali bila udhu,
Na hata ukiwa safarini kwenye basi na mda wa swala umefika unatakiwa utumie siti uliokaa kushik udhu kwa kupga kwa viganja vyako viwili kweny siti na ujipanguse maene o yalio elekezwa, usoni, mikononi na miguuni,.
Allahu Âalamu
 
Hii sasa ndio imeingia akilini mwangu. Tayyamamu yaweza kufanyika hata kwenye ukuta, kiti au kwenye kitu chochote "kisafi" kilichopo ilimuradi tendo la udhu lifanyike. Niposawa??!!
 
Back
Top Bottom