Elimu juu ya siafu

Je, unajua kuwa siafu mmoja anaweza kuuzwa hadi dola 220 kwenye soko haramu?
Lakini hawa si siafu wa kawaida. Ni malkia wa siafu kutoka Kenya.
-
Wakusanyaji huwafuga kama wanyama wa majumbani na huwaangalia wakianzisha makazi yao ndani ya masanduku yaliyowazi
Mwandishi wa BBC @_phillys na taarifa zaidi
-
-
#bbcswahili #siafu #China #kenya #biasharaharamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…