proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,252
- Thread starter
- #81
Unajua hizi simu za selfie zikitumika kuchati mada za masomo shuleni mbona one nyingi!!!Mimk pia nashangaa sijui kwanini madogo hawafulu wakati kila kitu wanacho,watu tumesoma shuleni kwetu hakuna library hakuna internet lakini watu tumefaulu..... lakini watoto wa siku hizi wana kila kitu lakini wanapiga zero za kutosha,yani utandawazi badala ya kusaidia umekuja kuwaharibu kabisa ,watu 24/7 wako Facebook na Instagram hapo unategemea nini Mkuu.