proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,352
- 11,252
- Thread starter
- #41
Yan watu wali enjoy kuanzia mwaka 2012-2015.Acha uongo dogo ,,hiyo ilitumika kwa mwaka 2014 pekee na grades zao zilikuwa ndogo
Yan watu wali enjoy kuanzia mwaka 2012-2015.Acha uongo dogo ,,hiyo ilitumika kwa mwaka 2014 pekee na grades zao zilikuwa ndogo
Du kwa wanaotaka kujiendeleza sa ivi ni tough sanaElimu haijawa ngumu kwa sasa. Nakumbuka miaka ya 2005 kurudi nyuma waliokuwa wakienda chuo kikuu walikuwa ni division 1 na 2. Three ya DDE ilikuwa bahati sana kuingia chuo kikuu.
Na wengi tulioingia chuo kikuu tulisoma katika shule za serikali na sio private.
Naunga mkono the lowest entry iwe DDE otherwise ni bora uanzie Diploma au uende Uganda utapata degree nzuri tu, na kazi ufanye hukohuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida inaanzia apoYah elimu zenyewe za kusimamiwa na kina Bashite hizi, hiyo heshima sijui itatoka wapi!
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
zamani ipi ambapo pointi 10 ilikuwa three??Sio kweli Elimu ya A level imekuwa simple(nyepesi ) sasa zama division one ulikuwa point 3 mpaka 7 , division two 8 na 9 tu Ebu angalia sasa hivi division one inaanza na point 3mpaka 9 na division two inaanza na point 10 mpaka 12 ni hivi yaani zamani. MTU ukipata point 10 una division 3 kila kwa sasa MTU ukipata point kumi ana division two imekuwa nyepesi Sana'a sio kama zamani bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiangalia huko tulikotoka elimu ilikua nafuu kwe viwango vya matokeo,lakini sasa ni shida kwa kweli.
Kwa mfano kipindi cha nyuma ulikua ukipata THREE kuanzia ya 14-18 unaenda chuo kikuu lakini hivi sasa unaambiwa ukiwa na three umefaulu cha kushangaza usipokua na cut off point 4 yaani DD huwezi kwenda chuo kikuu.
Sasa kwa hapo asiepata hizo point unakuta ana3 lkn haendi chuo kikuu si bora wangesema aliepata 3 amefeli? Kwa haina maana kuwa na three isiyoenda chuo kikuu hata kwa nchi nyingine. Huu uboreshaji wa elimu wa namna gani huu?.
Ukiangalia nchi nyingine kwanza hakuna hata advance.
Ukiona mtu anafurah kufeli kwa mwenzie , basi jua kabisa mtu huyo anaroho ya kichawi kilichobaki ni kutafuta vitendea kazi tu, acha roho mbaya mkuu, roho mbaya na ubinafsi havijengiKwanza nimefurahi kichizi mnavyobaniwa
Karudisha ualimu wa diploma kwa form six division three wote wataenda huko .mwakajana waliwabania form six atakwenda huko walitaka only science now paka business wanaenda yan eca .walimu watakuwa ivyo waliofel BT div 3 ni nzuri tuAma kweli acha heshima ijengeke hata ualimu uheshimike kwan watu wanafikiri mwalimu ni mtu aliye feli.
Acha Kutukana watu uwe na hekima na Busara Ebu angalia matokeo ya 2014 watumia hizo grade za A
Acha uongo dogo ,,hiyo ilitumika kwa mwaka 2014 pekee na grades zao zilikuwa ndogo
Ww kwa kusoma bila google search ulipata ngapi mkuu,, mbona ?Elimu haijawa ngumu, zaman tumesoma ktk mazingira magumu hata hakuna google search tunatafuta vitu kweny vitabu au daftar za waliotutangulia...sasa hiv kila kitu kipo na bado toto linapata three kwel....
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda utawala ubadilike, tuwe na utawala bora kwa kila sectortunakoelekea uko heshima itakuepo tu mkuu
Wewe ndo unaroho mbaya na avatar yako inasadifu hilo.Ukiona mtu anafurah kufeli kwa mwenzie , basi jua kabisa mtu huyo anaroho ya kichawi kilichobaki ni kutafuta vitendea kazi tu, acha roho mbaya mkuu, roho mbaya na ubinafsi havijengi
Ukwel unauma kaka , pole nenda kapate juice ya mapapai upoze kooWewe ndo unaroho mbaya na avatar yako inasadifu hilo.





Vp na wale wa 2015 Walikua applicable kwa point ngapi kudahiliwa university coz nahisi mwenyewe ndo walikuwa wa mteremko zaidiAcha uongo dogo ,,hiyo ilitumika kwa mwaka 2014 pekee na grades zao zilikuwa ndogo
Si ndo apo sasa !!watuhurumie jaman angalau ata iwe point 3 au 4 from three subject walau na ss wahanga wa DEE tupate sifa ya kudahiliwa.Kutokana na wingi wa vyuo point 4 ni kubwa sana bora wangepanga 3 .ata kama zamani vyuo vilikuwa vichache na watu walikuwa wanaenda chuo kwa point 5 paka 6 .mwaka huu sidhan kama vyuo vitapata watu vile mihayo Jordan teku ni maon tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana walitengeneza hayo majumba kwa ajili ya kuwa magofu?Si ndo apo sasa !!watuhurumie jaman angalau ata iwe point 3 au 4 from three subject walau na ss wahanga wa DEE tupate sifa ya kudahiliwa.
Ila nakumbuka Mkulu alisemaga kuwa vyuo vya private vitajifunga venyewe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hao waliiinjoi kwa kweli ndio maana wanaringa lakini kumbuka ajira kujitengenezea.Vp na wale wa 2015 Walikua applicable kwa point ngapi kudahiliwa university coz nahisi mwenyewe ndo walikuwa wa mteremko zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan hao waliiinjoi kwa kweli ndio maana wanaringa lakini kumbuka ajira kujitengenezea.Vp na wale wa 2015 Walikua applicable kwa point ngapi kudahiliwa university coz nahisi mwenyewe ndo walikuwa wa mteremko zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepanga hivyo viwango kwa kuwa wanajua watoto hawatofeli,unakuta wao familia nzima wana degreeBadala ya kuwawazia watoto we unawazia tumbo lako???? Africa kwanini sisi kila siku??? jarbu kuona mbali ndugu. Elimu inayotolewa kwa sasa haina viwango vyotote vya kumpeleka mtu popote! mpaka sasa elimu imetegwa ...aaa!!!?????!!!?
Kwanza nimefurahi kichizi mnavyobaniwa
wewe jamaa!