Elimu inazidi kuwa ngumu

Elimu inazidi kuwa ngumu

Mbona kama zamani waliishia 17 mkuu?
Maana 18 ni four tiyari eti!

brain is the beautiful part of the body.
 
Nyie madogo wa siku hizi mmelegezewa , zamani ukipata hata D ya physics science we ni kichwa , Ila nashangaa siku hizi A na B ni zakutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kadri miaka inavyoenda ndivyo watoto wanazaliwa na akili ndogo SIKU IZI UKIMUULIZA MTU MBILI MARA MBILI lazima angalie kwenye kikotoo cha kwenye simu hapo hio ndio dalili.
 
Karudisha ualimu wa diploma kwa form six division three wote wataenda huko .mwakajana waliwabania form six atakwenda huko walitaka only science now paka business wanaenda yan eca .walimu watakuwa ivyo waliofel BT div 3 ni nzuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana kipichi cha 2015 four ilikua inaenda diploma?
 
KWELI KWELI TUPU , Navyoona mm serikali HAITAKI watu wasome elimu ya Chuo kikuu , sababu BORA wangepandisha hizo grade kwa wale tu wanaotaka mkopo wao kama hawana pesa za kutosha au hata mikopo iwe kwa ajili ya div 1 na 2 tu hao wa 3 wajisomeshe.
Pili kwa nini wapandishe hizo grade juu zaidi ya grade za kimataifa ? (kwa wale wanaojisomesha nje ya nchi )
HII INA NIA NA MAANA GANI kama sio kuzuia watu wasisome ?
Aise we ndiye uliyeto point pongezi kwako ndg wote wangewaza hivi tungekua na maendeleo.
 
We unahisi sababu ni nn?
Mimk pia nashangaa sijui kwanini madogo hawafulu wakati kila kitu wanacho,watu tumesoma shuleni kwetu hakuna library hakuna internet lakini watu tumefaulu..... lakini watoto wa siku hizi wana kila kitu lakini wanapiga zero za kutosha,yani utandawazi badala ya kusaidia umekuja kuwaharibu kabisa ,watu 24/7 wako Facebook na Instagram hapo unategemea nini Mkuu.
 
Back
Top Bottom