Elimu inazidi kuwa ngumu

Elimu inazidi kuwa ngumu

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
7,352
Reaction score
11,252
Tukiangalia huko tulikotoka elimu ilikua nafuu kwe viwango vya matokeo,lakini sasa ni shida kwa kweli.

Kwa mfano kipindi cha nyuma ulikua ukipata THREE kuanzia ya 14-18 unaenda chuo kikuu lakini hivi sasa unaambiwa ukiwa na three umefaulu cha kushangaza usipokua na cut off point 4 yaani DD huwezi kwenda chuo kikuu.

Sasa kwa hapo asiepata hizo point unakuta ana3 lkn haendi chuo kikuu si bora wangesema aliepata 3 amefeli? Kwa haina maana kuwa na three isiyoenda chuo kikuu hata kwa nchi nyingine. Huu uboreshaji wa elimu wa namna gani huu?.

Ukiangalia nchi nyingine kwanza hakuna hata advance.
 
Three ya DDE unaenda degree kama kawa.
 
Kwa uelewa wangu ni kuwa hata mwenye daraja la nne anaenda chuo kikuu. Sema chuo kikuu anaenda kusomea cheti, diploma au degree. Kwa ufaulu huo uliousema mtu hataweza kusomea degree. Ila anaweza kwenda chuo na kusomea diploma au cheti ambavyo vitamuwezesha kupata sifa za kusoma degree.
 
Back
Top Bottom