Mr wenu
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 1,088
- 1,667
Kifo siyo mwisho wa elimu, ni mwisho wa mtu na maisha yake..!
Mkorochi alikua anatafuta [HASHTAG]#Kiki[/HASHTAG] tu...
Nilimaanisha kwa msoma hiyo elimuKifo siyo mwisho wa elimu, ni mwisho wa mtu na maisha yake..!
Nchi zinazotoa elimu bure kwa raia wake ni za Scandinavia zingine badala ya kutoa bure hutoa mikopo kwa wanafunzi wake, zingine hazitoi kabisa. Hivyo bibi hawezi kua kasoma bure ni ama anasoma kwa mkopo au kwa pesa yake.
Nimekuelewa mkuuNchi zinazotoa elimu bure kwa raia wake ni za Scandinavia zingine badala ya kutoa bure hutoa mikopo kwa wanafunzi wake, zingine hazitoi kabisa. Hivyo bibi hawezi kua kasoma bure ni ama anasoma kwa mkopo au kwa pesa yake.
Bibi katumia miaka 10 sasa hivi ana miaka 91 hivyo alianza kuitafuta degree akiwa na miaka 81. Miaka 81 kwa nchi zinazoendelea na maisha hayapo sawa najua unajua bibi wa umri huu anakua anawaza nini kichwani. Huyu akawa anawaza elimu, kwanini? Kwa sababu kila kitu anacho isipokua degree ndiyo akaamua kuitafuta.
Bado naamini ana pesa nyingi na anayo ya kuchezea, naenda google kuangalia taarifa yake nitakuletea nitakachopata.
Hahaha.Huyu bibi atakuwa na na saba za ki-Haya.
Mkuu kwenye mazishi maisha ya marehemu elimu ikianza kusomwa ni nusu saa inaanza first degree UDSM, first masters Holland, 2nd masters ....