ELIMU HAINA MWISHO.

ELIMU HAINA MWISHO.

Mkuu kwenye mazishi maisha ya marehemu elimu ikianza kusomwa ni nusu saa inaanza first degree UDSM, first masters Holland, 2nd masters ....
Hii inaonesha kumjali marehem pia muda alioutumia ktk elimu utakua umetendewa haki japo kwa kiasi kidogo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimerudi, taarifa za Kimlan zaidi ya kugraduate hakuna kingine, nikaamua kuangalia gharama za ada ya chuo ili nione kama zitaakisi maisha yake, naona vyuo vya nchi zinazoendelea kubadilisha taarifa mtandaoni wagumu mno.
Nimekuta maelezo ya ada lakini ni ya mwaka 2012
Screenshot_2017-08-13-07-35-07.png


Nimejumlisha hizo gharama na kuzileta kwenye dola ya Marekani ni 72.289 cheap vibaya mno. Ila nikaona pia ana mjukuu wake alienda kusomea Doctorate Marekani na siyo kwa scholarship.
 
Kwani ukisoma hadi uzeeni unafaidika nini maana elimu ni njia moja wapo ya Ku sovu maisha magumu sasa uzee huo anasoma ili aende wapi au anataka sifa!!! Maana hapo kwa miaka aliyobakisha hapa duniani ni jioni sio mchana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudi, taarifa za Kimlan zaidi ya kugraduate hakuna kingine, nikaamua kuangalia gharama za ada ya chuo ili nione kama zitaakisi maisha yake, naona vyuo vya nchi zinazoendelea kubadilisha taarifa mtandaoni wagumu mno.
Nimekuta maelezo ya ada lakini ni ya mwaka 2012
View attachment 564409

Nimejumlisha hizo gharama na kuzileta kwenye dola ya Marekani ni 72.289 cheap vibaya mno. Ila nikaona pia ana mjukuu wake alienda kusomea Doctorate Marekani na siyo kwa scholarship.
Mkuu uko vizuri kwa utafiti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu ina mwisho lakini kujifunza ndo hakuna mwisho.
 
Back
Top Bottom