Mtumishi wa kati kutumia zaid ya nusu ya mshahara wake kulipia watoto wake wa chekechea na shule za msingi ada shule za Englisha medium ni ukosefu wa maarifa ya matumizi ya pesa "lack of finance literacy", hili jambo lime fanya kuongeza umasikini miongoni mwa wa tumishi wa umma wa mishahara ya kati, na kuendeleza "urban poverty"
Mtu ana hudumia watoto mpaka anakuja kustaafu imechoka kifedha hana nyumba mjini au kijijini na watoto alio waangaikia hawana ajira anawahudumia tena mara ya pili ku watunza nyumbani ndo maana wastaafu wengi wana kumbana na kisukari na pressure hi inatokana na longtime accumulated stress, wanakufa mapema 10 to 5 baada ya kusitaafu.
Jamani kama 10% ya mshahara wako haitoshi kulipia hao watoto ada zao kwenye shule za English medium jua hiyo sio level au hadhi yako better find your level, kuna shule za umma ni zuri tu mzazi ukiwa serious.
Kuna mtumishi jirani yangu na muonea huruma mtoto wake anafuata na gari kila asubuhi na anarudishwa jioni ila yeye Baba anaenda kwa mgu kituoni kwake na anarudi na boda-boda, hajii na mfuko wowote mkononi ananunua nafaka za mwezi kama kuku kweli maulisha gani hayo?