Itug
Senior Member
- Mar 19, 2011
- 196
- 72
Hapa ni vema wananchi wapewe elimu, waalimu wanateseka na tunavyojua watz ni watu wa kusikiliza sio kusoma! mzazi anamleta mwanafunzi shule form one hana uniform hana viatu hana kalamu wala daftari! kisa elimu bure!
Hii bure itolewe maelezo vinginevyo hapatatosha vijijini huku! hela iliyotumwa nikiduchu sana!
Hii bure itolewe maelezo vinginevyo hapatatosha vijijini huku! hela iliyotumwa nikiduchu sana!