Elimu bure janga

Elimu bure janga

Regent

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2020
Posts
2,306
Reaction score
3,576
Elimu Bure ni sawa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu kumlipia mwanachuo pesa ya Tuition Fees peke yake na kuona kuwa gharama za mwanafunzi zimeishia hapo.

Nini kilichonisukuma.

Kuna jamaa yangu anafundisha shule fulani Geography akisema wanafunzi wote wawe na Map Sheets akawa amewaambia kila mwanafunzi atoe 500 akatoe kopi ramani kumbuka katumia muda wake na pesa yake kutafuta hizo Ramani ipo nje ya Classroom Activities Mapenzi yake tu sasa alivyofanya hivyo hao wazazi wakekuja Shuleni kama nyuki "Michngo ya nini elimu bure" kawaacha wanafunzi kamawalivyo.

Elimu bure ni janga sana.
 
Back
Top Bottom