Elia alikuwa kiboko dah

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,419
3,388
Elia alisimamisha mvua,Elia alishusha moto toka mbinguni ,ukawalamba manabii wa bahari wotee,hasira ya mungu ilishuka kupitia kwa nabii Elia,Elia alikuwa nabii jeuri hataki masihara,aliita manabii wa bahari akawambia wekeni sadaka zenu za kutekeza hapa na muwaite miungu wenu wachukue sadaka zenu,hakuna mungu aliyeshuka,Elia akaweka yake na kujipiga kifua kumuomba mungu wa kweli ashuke,Mara akashuka na kuichukua sadaka,manabii wa bahari waliogopa sana,itaendelea
 
Huyo jamaa hakuwa na huruma/upendo.
uatachomaji watu wakati mungu ni wa upendo?.

kuna kijiji kilim-crash Jesus, moja ya wanafunzi wake(sijui petro ama yohana) akamuambia Jesus:, amru moto ushuke kutoka mbinguni uchome hiki kijiji, jesus akamuwakia kinoma jamaa aliyetoa uo ushauri wa kisenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ww. Unavyoingiza matusi kwa mambo matakatifu.
 
Elia alisimamisha mvua,Elia alishusha moto toka mbinguni ,ukawalamba manabii wa bahari wotee,hasira ya mungu ilishuka kupitia kwa nabii Elia,Elia alikuwa nabii jeuri hataki masihara,aliita manabii wa bahari akawambia wekeni sadaka zenu za kutekeza hapa na muwaite miungu wenu wachukue sadaka zenu,hakuna mungu aliyeshuka,Elia akaweka yake na kujipiga kifua kumuomba mungu wa kweli ashuke,Mara akashuka na kuichukua sadaka,manabii wa bahari waliogopa sana,itaendelea

Lakini Cha Kushangaza Elia Alimkimbia mwanamke (Jezebel) Kwa hofu kubwa
Hapa tunajifunza kwamba Hata uwe hodari vipi kwa ulimwengu huu wa mwili lazima kuna unyonge au udhaifu wako tu
 
Inaendelea

Baada ya Elia kushusha Moto aliamuru wale manabii wa mungu Bahar wachinjwe wote na Jambo Hilo lilimkera Sana mke wa mfale had ikafika hatua Elia akawa anatafutwa ili auwe kwa kitendo akijifanya

Sasa kila askal waliokuja kumkamata walikua wanakuja kwa mbwembwe mix ffu na walikua hawana kauli nzur wakat wa kumkamata Elia alichokua anajifanya ni kushusha Moto tu na kuwateketeza, unaambiwa askar wengi walikufa Sana Ila Kuna mkuu mmoja tu ndie aliyepatia had kufanikisha kumnasa Elia

Elia wakat anakimbia alifika Kijiji kimoja na kumkuta mama mmoja na akamuomba ampikie chakula kwasababu alikua na njaa Sana na vyakula kwa wakati huo vilikua hadimu Sana kutokana na msala aliousababisha yeye mwenyew kwa kufunga mvua😁😁😁. Na yule Bibi alikua amebakiwa na chakula Cha kutosha siku zisizozid 5 Ila kwakua alijua ni mtumishi wa mungu bas akaamua kumpikia kile chakula kilichobak na Elia akalamba menyu yote Ila baada ya kumaliza akambariki yule mama na kumjazia chakula kingi kwenye mtungi na kundokana na baa la njaa

Wakati Elia anaondoka alimwambia msaidizi wake Elisha awe macho siku atakayoondoka na kweli Elisha Alikaza macho hyo siku mpaka akaambulia koti la Elia

I hope mtoa Uzi hautaendelea Tena maana nimeshafunga Uzi wako

Mkome kutupostia nusu nusu
 
Huyo jamaa hakuwa na huruma/upendo.
uatachomaji watu wakati mungu ni wa upendo?.

kuna kijiji kilim-crash Jesus, moja ya wanafunzi wake(sijui petro ama yohana) akamuambia Jesus:, amru moto ushuke kutoka mbinguni uchome hiki kijiji, jesus akamuwakia kinoma jamaa aliyetoa uo ushauri wa kisenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa upo siriaz sana kumchukia shetani
 
Inaendelea

Baada ya Elia kushusha Moto aliamuru wale manabii wa mungu Bahar wachinjwe wote na Jambo Hilo lilimkera Sana mke wa mfale had ikafika hatua Elia akawa anatafutwa ili auwe kwa kitendo akijifanya

Sasa kila askal waliokuja kumkamata walikua wanakuja kwa mbwembwe mix ffu na walikua hawana kauli nzur wakat wa kumkamata Elia alichokua anajifanya ni kushusha Moto tu na kuwateketeza, unaambiwa askar wengi walikufa Sana Ila Kuna mkuu mmoja tu ndie aliyepatia had kufanikisha kumnasa Elia

Elia wakat anakimbia alifika Kijiji kimoja na kumkuta mama mmoja na akamuomba ampikie chakula kwasababu alikua na njaa Sana na vyakula kwa wakati huo vilikua hadimu Sana kutokana na msala aliousababisha yeye mwenyew kwa kufunga mvua. Na yule Bibi alikua amebakiwa na chakula Cha kutosha siku zisizozid 5 Ila kwakua alijua ni mtumishi wa mungu bas akaamua kumpikia kile chakula kilichobak na Elia akalamba menyu yote Ila baada ya kumaliza akambariki yule mama na kumjazia chakula kingi kwenye mtungi na kundokana na baa la njaa

Wakati Elia anaondoka alimwambia msaidizi wake Elisha awe macho siku atakayoondoka na kweli Elisha Alikaza macho hyo siku mpaka akaambulia koti la Elia

I hope mtoa Uzi hautaendelea Tena maana nimeshafunga Uzi wako

Mkome kutupostia nusu nusu
1Wafalme 17:8-16
 
Elia alisimamisha mvua,Elia alishusha moto toka mbinguni ,ukawalamba manabii wa bahari wotee,hasira ya mungu ilishuka kupitia kwa nabii Elia,Elia alikuwa nabii jeuri hataki masihara,aliita manabii wa bahari akawambia wekeni sadaka zenu za kutekeza hapa na muwaite miungu wenu wachukue sadaka zenu,hakuna mungu aliyeshuka,Elia akaweka yake na kujipiga kifua kumuomba mungu wa kweli ashuke,Mara akashuka na kuichukua sadaka,manabii wa bahari waliogopa sana,itaendelea
Sahihusho- manabii wa Baali siyo Bahari
 
Elia!
eliasprophet_orig.jpg
 
Habari za kufikirika tu hizo, nabii jeuri asie na upendo hana nafasi kwa Mungu waandishi wa hivi vitabu wamejua kutudanganya sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom