Elfu lela ulela nitakipata wapi???

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,220
1,225
Habari zenu wanajamii forum,natumaini ni wazima wa afya
Nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye kitabu kimoja kinaitwa ELFU LELA ULELA aniwekee attachment ili niweze kuidownload maana kitabu kinasifika sana hicho na mama yangu anakipenda sana so kwa yeyote amabaye anacho naomba anipatie kwa attachment
 
Ni kweli, kunabrafiki angu anavyo alipewa na baba ake , havitoi, na nilipoenda dukani niliambiwa wanajeshi wanakuja na loli na kila mtu anataka na huvimaliza kwa dk 10 tutu
 
Kama upo dar jana nimeviona vingi sana pale mkuki na nyota samora avenue karibu na mnara wa akari...askari monument
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom