hiyo drone kama ilirushwa wakati gari inatembea, basi ilirushwa ikawekwa igande stationary, hata wewe ukirusha chungwa ndani ya gari halitakupita liende nyuma, itakua kawaida tu kama ukirusha ukiwa umekaa
Mfano tu, ukiwa kwenye basi umekaa siti ya nyuma, basi likaanza kutembea kwa mwendo mkali, ukaamua kutoka kwenye siti nyuma na kumfuata dereva mbele, Je, hutomfikia dereva? Hiyo drone, wameiset igande hapo hapo isitembee kwenda nyuma, mbele, juu wala chini.