Elevation

Hizi ni intangible contributions. Zimekaa kisiasa sana. Elezeeni tangiable contributions zenu yaani zile ambazo zinaonekana, zinapimika au zinashikika mfano hela, assets, connections n.k
MImi nawaheshimu sana wanaume sijafikia kusema tunaweza fanan kias kulinganishana na vitu kmaa hivo sisi ni weak iko hivo japo sikuhiz wapo wanaume wanalelewa sio wote nawao ni kama hao wanawake unawasema

Inawezekanaje mwanaume kuanza kuhesabh vitu vya mwanamke kujipima nae uwezo au ni nn
 
Mwanamke kwangu akiniganda naona kelo,Zaid ananinyima raha,mara akulazimishe kufanya mapenzi wakati hutaki,mara akulaliye ovyo ovyo wakati unastress zako,Mwanamke ni kero tu
Ni kwako hujapata bahati huenda piia hujawah kupenda ila kwa wengine mapenz ni maisha kunawanaume walikuwa mashimoni ila wakapewa tabasamu na wenza wao
Ukikaa nao watakwambia mapenz ni mazuri na wanawake ni wazuri so iko hivo kwa kila mtu kulingana na expirience yake
 
Kwangu mapenzi sio maisha ni kitu cha ziada,sio cha msingi
 
Unajua kuwa kwa 80% wanawake hatutongozi? So now tell me ni kwanini mtu umtake mwenyewe halafu ulalamike unayoyalalamikia hapa
Kwasababu mwanaume ukimtaka mwanamke, haimaanishi huyo mwanamke ana mtizamo sawa na wewe unaetongoza, ni vile tu wanaume sisi tunakaza fuvu.

Mnatongozwa, ila 80% of the time mnafatwa na wanaume ambao hamuwataki, sasa vilio ndo vinaanza hapo, na wanaume wengi wa miaka hii wana-reason, mwanaume anaona anaweka effort kuubwa kwenye kuanzisha na kuendeleza mahusiano, kuliko vitu anavyopata..Yani in business terms ni sawa uwekeze tsh billion 2 kwenye biashara halafu faida kwa mwezi upate tsh laki 2.. that's the reality ambayo wanaume wengi hukumbana nayo kwenye mahusiano. binti kiziwi
 
Naelewa……
 

Well said
Na huu ndo ukweli uliopo
 
Hakika mkuu, ukiona unatumia nguvu kubwa ya ushawishi ili awe wako au aendelee kuwa wako jua umeshapoteza pambano.
 
Nafikiri kwenye mahusiano na maisha kiujumla hata wanaume mnahitaji sana kuwa elevated. Unaanza mahusiano na binti, anakuhamasisha kununua kiwanja, kufanya biashara, kuwekeza na ni kimbilio lako wakati hata una stress za kazi. Binti anaplay role yake vizuri. Shida wanaume wachoyo mnaangalia sana hela ila. Ukiombwa hela unaona kama unataka kutolewa roho. Nyie mambo pia sio mepesi kama huna hata wa kumwambia siku yako ilivyokua mbaya. Ukisikia wanaume wanakufa haraka ndio mambo hizo. Wacha nikazogoe na sweetlady mie
 
 
Vijana nao hawataki golikipa tu asiye kuwa na hata mawazo ya kulima mchicha
 
Hizi ni intangible contributions. Zimekaa kisiasa sana. Elezeeni tangiable contributions zenu yaani zile ambazo zinaonekana, zinapimika au zinashikika mfano hela, assets, connections n.k
Hizo intangible ndio uhalisia wetu. Wanawake wengi wana mazingira magumu kutengeneza connections sio kama wanaume. Wengi kwanza wakitoka kazini wanawaza kuwahi familia na kuendelea na majukumu ya kinyumbani. Nafikiri pia ni taasisi chache zimeweza kuweka usawa wa kijinsia kwa waajiriwa wao ila wengi hata maofisini wanaume ni wengi kuliko wanawake. Bado tuna safari ndefu kiasi kutengeneza fursa za ajira, biashara na elimu ili kuweza kufikia huu usawa kiasi kwamba tulinganishe mali wanazochuma mwanamke na mwanaume katika familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…