Herbalist Dr MziziMkavu Platinum Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,113 Reaction score 34,953 Nov 14, 2012 #2 ehh bwana katoto kazuri hako Mbuzi Mzee huwezi kukisogelea mama yake ni mkali hapo. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Nazjaz JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 7,850 Reaction score 9,423 Nov 14, 2012 #3 Mbuzi Mzee uache ushakunaku, mbona wewe ukiwa unazaa tembo hawakupigi picha? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Nov 14, 2012 #4 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Bravooooo katoto kanazaliwa na kutembea. Hakawezi kubemendwa hako saaafiiii sana....
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Bravooooo katoto kanazaliwa na kutembea. Hakawezi kubemendwa hako saaafiiii sana....
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Nov 14, 2012 #5 kwa kukadiria anaweza akawa na uzito kilo ngapi?
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Nov 14, 2012 #6 ingekuwa binadamu akizaliwa anatembea hapo hapo dunia ingejaa tungekosa hata pa kukanyaga
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,338 Reaction score 111,578 Nov 14, 2012 #7 Mwanadamu akizaliwa kitovu huwa chakatwa na wauguzi au wakunga, hivi wanyama kama huyo tembo ni maarifa gani hutumiwa na mnyama huyo kuondoa "umbilical cord" maana siioni kama yaning'inia hapo ingawa kondo la nyuma limeshatoka
Mwanadamu akizaliwa kitovu huwa chakatwa na wauguzi au wakunga, hivi wanyama kama huyo tembo ni maarifa gani hutumiwa na mnyama huyo kuondoa "umbilical cord" maana siioni kama yaning'inia hapo ingawa kondo la nyuma limeshatoka
Ringo Edmund JF-Expert Member Joined May 10, 2010 Posts 4,879 Reaction score 1,134 Nov 16, 2012 #8 N isiri ya mwanyezi Mungu acha aitwe Mungu