Electronic Fiscal Devices za TRA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Electronic Fiscal Devices za TRA

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by ThinkPad, Sep 14, 2010.

 1. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ndugu nilikuwa naitaji orodha ya makampuni ambayo TRA imeruhusu kusambaza hizo device pls.
   
 2. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  You can get this info on the TRA website.
   
 3. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Mojawapo ni BMTL
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  TRA website hawatoi infor kama hizo yaani balaa tupu, jamani kama kuna wengine wanajua makampuni mengine nijulisheni


   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 6. Uncle Rukus

  Uncle Rukus JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 2,430
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huwezi kuamini hizi mashine wabongo wameanza kuzichakachua, kuna rafiki yangu wakaribu kaniambia baadhi haya makampuni yaliyo pewa hii tena,yana jiusisha na uhalifu wa kuzichakachua hizi machine kwa bei nafuu kabisa na bila TRA kujua lolote linalo endelea kwenye hizo machine zao... Hii ni mbaya sana jamani kwa nini wabongo tuna penda vya bure kiasi hiki?
   
Loading...