mwanaNjilo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 277
- 195
Hakuna standing technician mwenye VTA tu. Kwa sababu kua Engineer au Techinian ni academic qualification. Except, VTA inaweza kua added advantage or rather an important qualification kutegemeana na job requirement na nature ya taasisi.Japo swali lako halipo clear na sijakuelewa umelenga kitu gani ila nitajitahidi kulijibu kama ifuatavyo.
Ukisikia mtu ni Engineer means ana Bachelor degree in Engineering.
Ukisikia mtu ni Technician means ana Diploma in Engineering ingawa siku hizi kuna fani zingine kama pharmacy pia wanatumia hili neno Technician wakimaanisha ni mtu mwenye Diploma ya pharmacy.
Artisan ni yule fundi mwenye cheti cha Veta.
Hizi ndio common definitions za kidunia.
Lakini ukija kwenye mambo ya ajira kwenye makampuni kila kampuni ina mpangilio wake.
Usishangae siku ukiona tangazo la kazi linamuhitaji Engineer lakini elimu yake iwe ya Diploma au Wakasema wanamtaka Technician lakini elimu yake iwe Bachelors Degree,Au wakasema wanamtaka Technician lakini elimu yake iwe cheti cha veta.
Hiyo isikuchanganye ni makampuni binafsi huamua kufanya hvyo kutokana na kukwepa maslahi fulani.
Pili, najua kua minimum qualification kua Engineer ni B. Degree kama ilivyo kwa minimum qualification kwa Technician ni ku hold a diploma (majoring in Engineering).
Kwa case ya Tanesco, nina marafiki (degree holders) wameajiriwa kama Technicians kwenye regional offices za Tanesco..mwaka wa tatu huu unaisha!