Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 990
Academic and technical solutions of electricity are well known but at the moment we need political solution. Makongamano na midahalo ya nini? Kipya gani ambacho watazungumza hawa watu?Wataalamu wa umeme nchini (Electical Engineers), na wengine wa fani hiyo wameitisha kikao kujadili ufumbuzi wa kitaalamu wa matatizo ya umeme nchini.
Barua ya mwaliko huo inasambaa kwenye internet na mimi nimeipata kuiweka humu inaonyesha kwamba kikao hicho kitafanyika kwenye ukumbbi wa Karimjee Hall, siku ya Jumamosi, July 30, 2011 kuanzia saa 04:00 hadi saa 06:00 mchana.
Barua inaonyesha kikao hicho kinaratibiwa na Taasisi ya Wahandisi hapa nchini yaani Institute of Engineers Tanzania.
Watoa mada watakuwa ni Dr. Maingu, Dr. Kyaruzi na Eng. Mgaya.
Dr. Kyaruzi ni yule aliyemaliza hoja ya kitaalamu kwamba umeme unaopita juu ya Kanisa la Kakobe hauna madhara.
Hivyo wale wenye kutaka kujua wataalamu wa umeme wanasema nini kuhusu hali ya sasa hii ni fursa yao.
*****
Barua ya mwaliko inasema hivi hapa chini na vilevile unaweza kui-download kwenye attachment:
*****
View attachment 34395
*****
THE INSTITUTION OF ENGINEERS TANZANIA
MKUTANO WA KUJADILI TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA:
MAHALI: KARIMJEE HALL
SIKU/TAREHE: JUMAMOSI, 30/07/2011
MUDA: SAA 4 ASUBUHI SAA 6 MCHANA
MADA: UFUMBUZI WA KIHANDISI WA KUTATUA TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA
WATOA MADA: (1) ENG. DR. M.I. MAINGU
(2) ENG. S. M. MGAYA
(3) ENG. DR. A. L. KYARUZI
WADAU NA WANANCHI MNAKARIBISHWA
RAIS
21/07/2011
*******
Maswali zaidi wasiliana na anuani ifuatayo:
*****
Eng. S.N.A. Kassera
Executive Secretary,
The Institution of Engineers Tanzania,
Pamba Road, Opp. Former Hotel Agig
P.O. Box 2938,Dar es Salaam, Tanzania,
Tel: +255 22 2124265/2122836,
Mob: +255 717 110411/0784 909060,
*****
Wanaokutana ni Members wa Institute of Engineers Tanzania siyo Electrical engineers kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya habari.
By the way ina maana wizara ya Nishati haina Electricla Engineers? Ahaa usanii huu alafu Karimjee!
Nashukuru kwa taarifa kiongozi!!Wataalamu wa umeme nchini (Electical Engineers), na wadau wengine watakutana kujadili ufumbuzi wa kitaalamu wa matatizo ya umeme nchini.Barua ya mwaliko huo inasambaa kwenye internet na mimi nimeipata kuiweka humu inaonyesha kwamba kikao hicho kitafanyika kwenye ukumbbi wa Karimjee Hall, siku ya Jumamosi, July 30, 2011 kuanzia saa 04:00 hadi saa 06:00 mchana.Barua inaonyesha kikao hicho kinaratibiwa na Taasisi ya Wahandisi hapa nchini yaani Institute of Engineers Tanzania.Watoa mada watakuwa ni Dr. Maingu, Dr. Kyaruzi na Eng. Mgaya.Dr. Kyaruzi ni yule aliyemaliza hoja ya kitaalamu kwamba umeme unaopita juu ya Kanisa la Kakobe hauna madhara.Hivyo wale wenye kutaka kujua wataalamu wa umeme wanasema nini kuhusu hali ya sasa hii ni fursa yao.*****Barua ya mwaliko inasema hivi hapa chini na vilevile unaweza kui-download kwenye attachment:*****View attachment 34395*****THE INSTITUTION OF ENGINEERS TANZANIAMKUTANO WA KUJADILI TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIA:MAHALI: KARIMJEE HALLSIKU/TAREHE: JUMAMOSI, 30/07/2011MUDA: SAA 4 ASUBUHI – SAA 6 MCHANAMADA: UFUMBUZI WA KIHANDISI WA KUTATUA TATIZO LA UMEME NCHINI TANZANIAWATOA MADA: (1) ENG. DR. M.I. MAINGU(2) ENG. S. M. MGAYA(3) ENG. DR. A. L. KYARUZIWADAU NA WANANCHI MNAKARIBISHWARAIS21/07/2011*******Maswali zaidi wasiliana na anuani ifuatayo:*****Eng. S.N.A. KasseraExecutive Secretary,The Institution of Engineers Tanzania,Pamba Road, Opp. Former Hotel AgigP.O. Box 2938,Dar es Salaam, Tanzania,Tel: +255 22 2124265/2122836,Mob: +255 717 110411/0784 909060,*****
Msisahau kumkaribisha Engineer, Ambassador, M.P, Dr., Rev. Prof. Captain Rwegasira Esq.
Mlikuwa wapi nyie mainjinia siku zote? Hili tatizo limeanza toka 1990's?
Hata mkiweka huo mkutano na mkija na hoja zenu za kutatua hili tatizo, can't you see ni yaleyale kama mapendekezo ya tume ya Warioba na majina ya wauza madawa kapelekewa report raisi na kaziweka reports kwenye kabati?
Ni vema mkafanya huo mkutano wenu but I think it's a waste of time and resources sababu JK ameshasema eti tatizo la umeme ni ukame na yeye hana uweza wa kuleta mvua. Solution ameshanena kuwa ni hadi mvua zinyeshe. Msipoteze muda wenu labda mkutane tu for a get together
Mbona mimi Eng. Ngabu sijapata huu mwaliko?
Msisahau kumkaribisha Engineer, Ambassador, M.P, Dr., Rev. Prof. Captain Rwegasira Esq.
Mlikuwa wapi nyie mainjinia siku zote? Hili tatizo limeanza toka 1990's?
Hata mkiweka huo mkutano na mkija na hoja zenu za kutatua hili tatizo, can't you see ni yaleyale kama mapendekezo ya tume ya Warioba na majina ya wauza madawa kapelekewa report raisi na kaziweka reports kwenye kabati?
Ni vema mkafanya huo mkutano wenu but I think it's a waste of time and resources sababu JK ameshasema eti tatizo la umeme ni ukame na yeye hana uweza wa kuleta mvua. Solution ameshanena kuwa ni hadi mvua zinyeshe. Msipoteze muda wenu labda mkutane tu for a get together
Wanaokutana ni Members wa Institute of Engineers Tanzania siyo Electrical engineers kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya habari.
By the way ina maana wizara ya Nishati haina Electricla Engineers? Ahaa usanii huu alafu Karimjee!
Academic and technical solutions of electricity are well known but at the moment we need political solution. Makongamano na midahalo ya nini? Kipya gani ambacho watazungumza hawa watu?
Msiwasahau wachumi tu kwani malengo hayatafikiwa. Engineers watatoa utaalamu wao wa kiufundi ila utaalamu wa kimipango ni kazi ya wachumi.
Ikiwa ni hivyo basi hata thread unazojadili hapa JF zifutwe kwa sababu JF hardly imeanza mwaka 2005 na matatizo kibao ya nchi hii yalikuwepo.
Je, ulipitia ile thread kwamba ilikuwa ni makosa kuweka 80MW pale Mtera? Je, unajua kwa nini ilikuwa ni makosa?
Ilikuwa ni makosa kwa sababu MasterPlan ya Mtera haikuwa kuzalisha umeme. Mtera iliwekwa kwa ajili ya kuisaidia Kidatu inapozidiwa, kwamba maji yakikauka Kidatu basi yaweze kuletwa yalioko Mtera.
Sijui ni nini kiliingia vichwani na kufanya pale Mtera waweke 80MW na iwe ni ile inayojitegemea.
HIvyo Mtera ilikuwa kama standby source. Sasa tume-utilize hadi standby na matatizo yenyewe ndiyo haya.
Wewe kwa upeo wako hulioni hilo na hutaki lijadiliwe.
Waache wajadili kama mnavyojadili humu JF.
Mbona sioni mtu kutoka wizarani au tanesco kama watoa mada
Jamani ni aibu hii,mhando ni engineer si aje tupa master plan yao tuidiscuss
Hawa wahandisi wa Kiafrika hawana lolote. Watakutana hapo na kunywa maji yao ya Kilimanjaro na tuvitafunio twao (vibajia, sambusa, ufuta, kashata, kachori, n.k.). Halafu watataoka hapo na makabrasha kibao. Hamna lolote la maana watakaloliongelea. Mgao utaendelea kuwepo. Na rhumba litazidi kuwa kali. Ndiyo wahandisi wa Kiafrika hao. Ingenuity sufuri kabisa. Miaka yote hii ya matatizo ya umeme leo ndiyo wanagutuka? Get outta here...
hata wakitoa mapendekezo mazuri vp,serikali kiburi ya magamba itayaweka makabatini.nahis kichwa kupasuka nikiwafikiria politicians njaa wa nchi hiimsisahau kutupa feedback..., alafu please tumeongea sana sisitizeni action sababu kama ni kuongea walishaonge, tumeongea na wataendelea kuongea sana...