VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,121
- 2,235
goli mbili ndani ya dakika 5!!!!
mbona Live score inaonesha 1-0 hilo la pili nyie mnalitoa wapi?
EM goli la 3
Azam out
goli mbili ndani ya dakika 5!!!!
Platnumz ya mugabe na yanga wanapita wazimbabwe
Dah !! Bora ndala wapangiwe Na waarabu tukose wote
Full Time:
EM 3 - Azam 0.
Azam out.
Duuuuh! hawa azam imekuaje mpaka wakaruhusu goli 2 ndani ya dakika 5?!Full Time:
EM 3 - Azam 0.
Azam out.