Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
HT: EH1-0 azam
Hizo yellow cards zinaweza kuwa red cards, Azam wawe makini sana.
Matokea please
Ndio ukweli sio kwamba alidanganya wasudani nao wameanza ushenzi wa misri ingawa zama hizo zimepita
Mpwa kijiwe gani hicho?
Mkuu unaangalia channel gani??
Hawa wasudan mbona kama wanamnyongea ndugu yetu gizani!!EM wamekosa penati bora
Hawa wasudan mbona kama wanamnyongea ndugu yetu gizani!!
Nina mashaka sana na hawa wazee wa fitna (wasudan).
Matokeo jaman
Matokeo jaman