El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

El Merreikh Vs Azam FC 28/02/2015

I bet Azam out.
El mereikh watapata goli la pili. Itabidi kuwe na mikwaju ya penati. Na hapo ndipo chama langu Azam watakapochemsha. It is just betting.

I wish Azam could win; or at least continue in the next round.
 
Hawa wasudan mbona kama wanamnyongea ndugu yetu gizani!!
Nina mashaka sana na hawa wazee wa fitna (wasudan).

Yaani umeonaee mkolaj? I'm keeping my fingers clossed for Azam.
 
Last edited by a moderator:
Matokeo jamani
80' Al Merrikh 1 - 0 Azam
half-time🙁1 - 0)
match details :
11'

1 - 0

http://www.livescores.com/soccer/africa/champions-league-preliminary-round/al-merrikh-vs-azam/2-1310292241/
 
Mkuu Casuist safi sana. Watu wote wanaobahatika kufungua thread wafanye updates za namna hiyo. Kuna watu akifungua thread wanapotea moja kwa moja!
 
Wataongeza dakika 30 au ni matuta moja kwa moja kama matokeo yatabaki hivi hivi?
 
aiseeee..................wameshindwa kukomaa
 
Back
Top Bottom