Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Mpira umesimama kwanza kuna mchezaji wa EM anamzonga refa. Mambo ya kupoteza muda tu, washatuharibia pozi kwa Azam yetu.
Wataongeza dakika 30 au ni matuta moja kwa moja kama matokeo yatabaki hivi hivi?
I bet Azam out.
El mereikh watapata goli la pili. Itabidi kuwe na mikwaju ya penati. Na hapo ndipo chama langu Azam watakapochemsha. It is just betting.
I wish Azam could win; or at least continue in the next round.
Eeeeewe! mwenyezi mungu ijalie timu ya azam.Dk 83 bado el mareikh 1
Dk 83 bado el mareikh 1
Wamepata la 2 dk. Ya 85