Ekotike: Benjamin William Mkapa na Shyrose Bhanji

Ekotike: Benjamin William Mkapa na Shyrose Bhanji

Nice photo
i8la JF tumezidi kuingilia ya watu
hii picha ilikuwa ya Shy Rose Bhanji kule Facebook tena ni jana tu kaipost
ipo tena Clips ya magufuli akizungumzia mchanga wa madini
zote zinaletwa humu JF kwa ID ambazo si Verifued
iko siku tutaadhibiwa kwani wapo watakaoharibu
waache waadhibiwe tu
 
Mkapa ana bahati sana ya kupendwa na wamama huku yeye wala hana interests
yeye wine tu...

hahaahaaaa! Halafu sijajua kwann majoka vibisa yanabahati ya kupendwa sana. Lakn lenyew utakuta hata hisia hazipo lenyew linawaza kula kulala tu.
 
Mkapa ana bahati sana ya kupendwa na wamama huku yeye wala hana interests
yeye wine tu...

Chief-huyo si anakula pension ya urais....hakuna mwanamke atakataa hata kama deep down hampendi.
 
Nice photo
i8la JF tumezidi kuingilia ya watu
hii picha ilikuwa ya Shy Rose Bhanji kule Facebook tena ni jana tu kaipost
ipo tena Clips ya magufuli akizungumzia mchanga wa madini
zote zinaletwa humu JF kwa ID ambazo si Verifued
iko siku tutaadhibiwa kwani wapo watakaoharibu

Mbaya ni upotoshaji
 
Mkapa ana bahati sana ya kupendwa na wamama huku yeye wala hana interests
yeye wine tu...

Haha kwa hiyo ni safe kusema naweza mpa jamaa mke wangu akapiga nae picha ,wakaogelea,akalala kwake kesho namkuta mke wangu kama nilivyomuacha
ila hapo angekua mkwere ingekua habari nyingine
 
Unafikiri mchezo-kwa umri alionao vitu kama hivyo huongeza maisha!.Baada ya kazi nzito toka uchakachuaji wa Lumumba mpka mtu anafika magogoni hamuoni kuwa ni muda wa kupunzisha akili ma maphoto kama haya?.
Acheni wivu!
 
Mbaya ni upotoshaji
JamiiForums Privacy Policy
Use of Personal Information
We believe in protecting your privacy, and will not share personal information with third parties outside of JamiiForums.com except as described in this Privacy Policy. We believe that we can enhance your experience on our site with the information you share with us. We use personal information about you to improve our advertising and marketing efforts, to statistically analyze site usage, to improve our content and product offerings and to personalize the site's content, layout, and services. We may also use your personal information, such as your e-mail address or mailing address, to contact you regarding products and/or services that may be of interest to you, to respond to an inquiry from you regarding the information that we have collected or respond to your comments and suggestions.

JamiiForums.com will not sell your personal information or user database to outside companies or whomever, however, we may facilitate delivery of s
pia JF hairuhusu habari kutoka mitandao mingine sembuse habari za Shy Bhanji ambaye ni 3dr part hayupo
mnapojiunga muwe mnasoma kwanza kwani hizi sheria zipo chaini ya kila ukurasa wa desktop wa JF
 
JamiiForums Privacy Policy

pia JF hairuhusu habari kutoka mitandao mingine sembuse habari za Shy Bhanji ambaye ni 3dr part hayupo
mnapojiunga muwe mnasoma kwanza kwani hizi sheria zipo chaini ya kila ukurasa wa desktop wa JF

Bahati mbaya hii ni picha tu isiyokuwa na habari yoyote au we mwenzangu umeona kuna habari kuhusu hii picha?
 
Mambo ya kupishana na swala wakati huna mshale ni noma
 
tehetehtehhhhh....aisee umenifurahisha...title hadi content...lool....
 
Back
Top Bottom