Eimu ni Taa ya Maisha

Modereta

Senior Member
Jul 24, 2008
164
17
Nimejaribu kutafuta nini lengo hasa la kumpeleka mtoto shule, na jee ni shule ya namna gani. Hii yote ni kwa sababu nimekwisha pima na kuona kuwa watoto/vijana wanatumia muda mwingi na walimu/shuleni kuliko na wazazi/nyumbani kwao. kwani mazingira unayokulia ndio yanayojenga mfumo wa maisha utakayo ishi na hii kitu tunaita "mentality".
Nina wasiwasi kwa vile nimepata shida kutunga mfumo wa ufundishaji unaoweza kujenga mtoto aliye "total"

Je ni mfumo upi, naomba ushauri, kwani ningependa kuanzisha au kupata shule ya namna hiyo.
 
Back
Top Bottom