Hata mimi nimejiuliza Hilo mkuu, inasikitisha sana!!Ingawa sielewi BAKWATA wanafanya hili kwa faida ya nani!??? Moja ya siku niliyo kwazika ni leo na waislam tumekaa kimya tukiendelea kugawanywa kimafungu katika siku hizi muhimu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wana JF, Eid Mubarak, tuombeane kheri katika siku hii muhimu.nawatakia kila la kheri, mungu atutimize matwaka yetu, atupe Uzima,Afya,Busara ,Maisha Marefu yenye neema.
Sent using Jamii Forums mobile app
kitengo chenu cha BIKWATA kinapoteza waislam wa TZNI KESHO ACHA HARAKA
Inshaallah atatuongoza ila kunavitu vinatakiwa kubadilishwa kwenye hili baraza.Hata mimi nimejiuliza Hilo mkuu, inasikitisha sana!!
Mwenyezi Mungu atuongoze!!!
Nakubaliana na wewe mkuu! Tumeichoka!!Inshaallah atatuongoza ila kunavitu vinatakiwa kubadilishwa kwenye hili baraza.
Sent using Jamii Forums mobile app